Sanaa : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 13:
 
==Aina za sanaa==
===Sanaa za uoneshi===
Hizi ni sanaa ambazo uzuri wake hujitokeza katika umbo la kudumu, umbo ambalo linaweza kuhifadhiwa na uzuri wake ukaendelea kuonekana wakati wowote ule. Sanaa hizo ni pamoja na
Hizi ni baadhi tu ya aina ya sanaa:
*[[Fasihi]]
*[[Maonyesho]]
*[[Muziki]]
*[[Uchongaji]]
*[[Uchoraji]]
Mstari 24:
*[[Ususi]]
*[[Utarizi]]
Hizo ni baadhi ya ambazo hutoa umbo ambalo ni la kudumu.
===Sanaa za vitendo===
Uzuri wa sanaa hizi umo katika umbo la vitendo, hivyo ilimradi kuupata uzuri huo ni lazima kutazama vitendo vinavyofanyika. Katika sanaa hizi lazima kuwe na chenye sifa kuu nne, ambazo ni:
*Dhana ya kutendeka (tendo)
*Mtendaji (fanani)
*Uwanja wa kutendea
*Watazamaji (hadhira)
 
==Upekee wa fasihi==