Waraka kwa Waroma : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 66 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q48203 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
{{Agano Jipya}}
'''Waraka kwa Waroma''' ni sehemu[[kitabu]] yakimojawapo cha [[Agano Jipya]] katika [[Biblia ya Kikristo]]. Andiko hili ni [[barua]] ya [[Paulo wa Tarso]] kwa [[ushirika]] wa Kikristo[[Wakristo]] katika [[mji mkuu]] wa [[Dola la Roma]].
 
'''Waraka kwa Waroma''' ni sehemu ya [[Agano Jipya]] katika [[Biblia ya Kikristo]]. Andiko hili ni barua ya [[Paulo wa Tarso]] kwa ushirika wa Kikristo katika mji mkuu wa [[Dola la Roma]].
 
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
Line 19 ⟶ 18:
Wayahudi wote walipofukuzwa na [[Kaisari Klaudio]] ([[49]]), Wakristo wa mataifa mengine wakabaki ndio wengi, nao wakaachana na masharti mbalimbali za [[Uyahudi|Kiyahudi]], kama yale kuhusu vyakula.
 
[[Muda]] mfupi baada ya Klaudio kufa ([[54]]), Wayahudi walianza kurudi, kumbe wale ambao kati yao walikuwa wamemuamini [[Yesu]] wakakuta mabadiliko hayo makubwa ndani ya [[Kanisa]], nao wakajiona wamewekwa pembeni kidogo, kama si kudharauliwa na Wakristo wa mataifa.
 
Mtume Paulo akijua [[umuhimu]] wa Roma, [[mji mkuu]] wa [[ulimwengu]] wa zamani hizo, aliwaandikia Wakristo wa huko [[barua]] ndefu tena nzito kuliko zote.
Line 32 ⟶ 31:
 
==Mpangilio na mada==
Ingawa haina mafundisho yote ya Paulo, barua hii imechangia [[teolojia]] ya Kikristo kwa kiasi kikubwa, hasa upande wa [[ukristo wa magharibi|magharibi]].
 
Kwa namna ya pekee inajibu kinaganaga maswali kuhusu [[wokovu]]: unapatikana kwa njia gani? Kwa nini Wayahudi wengi walishindwa kumuamini [[Yesu]] ili kuupata? Kwa nini mataifa yameupokea badala yao? Aliyepata wokovu anaishi vipi? Je, Wayahudi wametupwa moja kwa moja?
Line 62 ⟶ 61:
Maelekezo hayo yanaweza kusaidia daima kukabili mvutano wowote kati ya wenye mitazamo tofauti (finyu na mpana, au wa kizamani na wa kisasa zaidi). Lengo ni ule [[umoja]] uliofundishwa katika [[sura]] nane za kwanza.
 
==Kiungo cha njeMarejeo==
* {{cite book | author = Bruce, F. F. |authorlink= F. F. Bruce | year = 1983 | title = The Epistle of Paul to the Romans: An Introduction and Commentary |series= [[Tyndale New Testament Commentaries]] | publisher = Inter-Varsity Press |location= Leicester, England | isbn = 0851118550}}
* [http://www.intratext.com/IXT/SWA0013/_INDEX.HTM] Agano Jipya kwa lugha ya Kiswahili
* {{cite book | author = Dunn, J. D. G. | year = 1988b | title = Romans 9–16 |series= Word Bible Commentary | publisher = Word Books, Publisher |location= Dallas, Texas |isbn = }}
* {{eastons|Romans, Epistle to the}}
* {{cite book |last= Fitzmyer |first= J. A. |authorlink= Joseph Fitzmyer |title= Romans |series= Anchor Bible Commentary |year= 1992 |publisher= Doubleday |location= New York |isbn= }}
* {{cite book | author = Dunn, J. D. G. |authorlink= James Dunn (theologian) | year = 1988a | title = Romans 1–8 |series= Word Bible Commentary | publisher = Word Books, Publisher |location= Dallas, Texas | isbn = }}
* Rutherford, Graeme (1993). ''The Heart of Christianity: Romans [chapters] 1 to 8''. Second ed. Oxford, Eng.: Bible Reading Fellowship. 248 p. ISBN 0-7459-2810-2
* {{cite book | author = Stuhlmacher, Peter | year = 1994 | title = Paul's Letter to the Romans: A Commentary | publisher = John Knox Press |location= Westminster | isbn = 0-664-25287-7}}
 
==Viungo vya nje==
===Tafsiri ya Kiswahili===
* [http://www.intratext.com/IXT/SWA0013/_INDEX.HTM] Agano Jipya kwa lugha ya Kiswahili.
 
===Tafsiri nyingine===
* [http://www.biblegateway.com "Bible Gateway 35 languages/50 versions"]
* [http://www.earlychristianwritings.com/romans.html "Epistle to the Romans" – Early Christian Writings]
* [http://www.gospelhall.org/bible/bible.php?passage=Romans+1 "Online Bible" – gospelhall.org]
* [http://www.christnotes.org/bible.php?q=Romans "Romans, Online Bible" – ChristNotes.org]
* [http://unbound.biola.edu "Unbound Bible 100 + languages/versions" – Biola University]
* [http://xn-----7kcagabcx1bboelivelc9a1ae5h2keg.xn--p1ai/63_poslanie_k_rimlyanam_svyatogo_apostola_pavla.docs.htm Epistle to the Romans]
 
===Ufafanuzi===
* [http://www.vts.edu/ftpimages/95/download/download_group10628_id314975.pdf A Brief Introduction to Romans]
* [http://www.christians.eu/understanding-romans-7/ Understanding Romans 7 – www.christians.eu]
* [http://wesley.nnu.edu/wesleyan_theology/theojrnl/16-20/16-04.htm A Wesleyan Interpretation of Romans 5–8 – Jerry McCant]
* [http://www.newadvent.org/cathen/13156a.htm Epistle to the Romans – Catholic Encyclopedia]
* [http://www.ccel.org/ccel/calvin/calcom38.toc.html John Calvin on Romans]
* [http://www.biblestudytools.com/dictionaries/eastons-bible-dictionary/the-romans-epistle-to.html Easton's Bible Dictionary on Romans, Epistle to the] on BibleStudyTools.com
* [http://www.ccel.org/ccel/henry/mhc6.vi_1.i.html Matthew Henry on Romans]
* [http://www.chbcaudio.org/1999/09/19/justification-the-message-of-romans/ Romans Overview, by Mark Dever]
* [http://www.smashwords.com/books/view/349879 Reading Through Romans, by Michael Morrison]
* [http://www.desiringgod.org/ResourceLibrary/Sermons/BySeries/2/ Romans the Greatest Letter Ever Written: John Piper]
* [http://www.whataboutjesus.com/new-testament/romans Book by Book: Romans], by [[Wisconsin Evangelical Lutheran Synod|WELS]]-WhatAboutJesus.com
 
[[Category: Vitabu vya Agano Jipya|Rom]]
[[Jamii:Mtume Paulo]]
[[Jamii:Roma]]