Mtaguso wa pili wa Laterano : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q243702 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Facade San Giovanni in Laterano 2006-09-07.jpg|thumb|right|250px|[[Basilika]] la [[Yohane Mbatizaji|Mtakatifu Yohane]] huko Laterano ambamo mtaguso ulifanyika.]]
'''Mtaguso wa pili wa Laterano''', uliofanyika kuanzia [[tarehe]] [[4 Aprili|4]] hadi [[11 Aprili]] [[1139]] chini ya [[Papa Inosenti II]] ([[1130]]-[[1143]]), unahesabiwa na [[Kanisa Katoliki]] kuwa [[mtaguso mkuu]] wa [[kumi]].
 
Ni wa pili kufanyika Magharibi ([[ItaliaMagharibi]]), kwenye [[Kanisa kuu la Roma]] ([[Italia]]).
 
== Historia ==
Mtaguso ulihitajika kutokana na [[farakano]] lililotokea mwaka [[1130]] alipofariki [[Papa Honori II]] ([[1124]]-[[1130]]): hapo ma[[kardinali]] waligawanyika kuhusu [[Mapatano ya Worms]], ambayo mwaka [[1122]] yalikuwa yamekomesha [[Mashindano kuhusu uteuzi wa maaskofu]].
 
Isitoshe, kulikuwa na ushindani kati ya [[koo]] mbili za [[Roma]], yaani Frangipane na Pierleoni.
Line 24 ⟶ 25:
 
[[Jamii:Mitaguso]]
[[Jamii:LateranoRoma]]