Mtaguso wa tatu wa Laterano : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 21 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q338611 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Facade San Giovanni in Laterano 2006-09-07.jpg|thumb|right|250px|[[Basilika]] la [[Yohane Mbatizaji|Mtakatifu Yohane]] huko Laterano ambamo mtaguso ulifanyika.]]
'''Mtaguso wa tatu wa Laterano''' uliitishwa na [[Papa Aleksanda III]] ([[1159]]-[[1181]]) ufanyike huko [[Roma]] mwaka [[1179]], kutokana na [[Amani ya Venezia]] kati ya [[Kaisari]] [[Federiko I wa Ujerumani]] na [[Lega Lombarda]] ya [[Italia]] kaskazini]].
 
Unahesabiwa na [[Kanisa Katoliki]] kama [[mtaguso mkuu]] wa [[kumi na moja]].
 
Ulihudhuriwa na viongozi wa [[Kanisa]] 300 na kufanyika katika vikao vitatu, tarehe [[5 Machi]], [[7 Machi]] na [[19 Machi]] [[1179]].
 
Ulijadili masuala mbalimbali na kuyatungia kanuni 27 na kutangua zile zilizotolewa na [[antipapa Paskali III]]. Kati ya maamuzi muhimu zaidi, mmojawapo ulihusu [[uchaguzi]] wa [[Papa]], ukidai [[thuluthi]] mbili za kura za [[Kardinali|makardinali]] wote, bila ya kutofautisha haki za makundi yao matatu.
 
== Viungo vya nje ==
Line 11 ⟶ 12:
 
[[Jamii:Mitaguso]]
[[Jamii:LateranoRoma]]