Vichekesho : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Rowan Atkinson and Manneken Pis.jpg|thumb|[[Rowan Atkinson]] akiwa kama [[Mr. Bean]].]]
'''Vichekesho''' ni maigizo mafupi yenye lengo la kufikisha ujumbe kwa njia ya kufurahisha au kuchekesha hadhira husika. Vichekesho huundwa kwa mpangilio wa maneno ulio na utendekaji ambao hauna kina kuhusu kisa kinachooneshwa - huonesha kisa au jambo bila kulichambua kwa kina.