Mtaguso wa pili wa Lyon : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q10951 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
{{Kigezo:Mitaguso mikuu ya Kanisa Katoliki}}
'''Mtaguso wa pili wa Lyon''', uliofanyika mwaka [[1274]], unahesabiwa na [[Kanisa Katoliki]] kama [[mtaguso mkuu]] wa 14[[kumi na nne]].
 
== Mazingira ==
 
[[Mtaguso]] wa pili kufanyika [[Lyon]] ([[Ufaransa]]) ulikusudiwa hasa kurudisha [[umoja]] kamili kati ya Wakatoliki na [[Waorthodoksi]], uliotafutwa katika [[karne ya 13]] yote.
 
Mstari 10:
 
== Kazi na maamuzi ya mtaguso ==
 
[[Papa Gregori X]] alifungua mtaguso tarehe [[7 Mei]] [[1274]] akitangaza tena malengo yake matatu: kusaidia [[Ukristo|Wakristo]] wa [[Nchi takatifu]], kuungana tena na Waorthodoksi na kurekebisha [[maadili]] ndani ya [[Kanisa]].
 
Line 18 ⟶ 17:
 
== Mapokezi ya mtaguso ==
 
Muungano haukuweza kudumu, kwa sababu, alivyoandika [[Papa Paulo VI]] ([[1963]]-[[1978]]) tarehe [[19 Oktoba]] [[1974]], ulifanyika «bila ya kulipatia [[Kanisa la Kigiriki]] nafasi ya kutokeza kwa hiari mtazamo wake kuhusu jambo hilo. Wakristo wa [[Kilatini]] ndio waliotunga hati na matamko kufuatana na mafundisho juu ya Kanisa yaliyofafanuliwa na kupangwa magharibi».
 
Line 27 ⟶ 25:
Maamuzi mengine yalihusu utaratibu mpya wa kumchagua [[Papa]] kwa lengo la kuzuia uchelewaji uliojitokeza hapo nyuma, na katazo la mashirika mapya ya kitawa.
 
== Vitabu vya rejeaMarejeo ==
 
* ''Conciliorum oecumenicorum decreta'', a cura di G. Alberigo, Bologna 1973, pp. 309-331
 
== Viungo vya nje ==
 
* [http://www.newadvent.org/cathen/09476c.htm Mtaguso wa pili wa Lyon katika [[Catholic Encyclopedia]].]
* [http://www.totustuus.biz/users/concili/lione2.htm Kanuni wa mtaguso huo]
{{mbegu-Ukristo}}
 
[[Jamii:Mitaguso]]
[[Jamii:Lyon]]
[[Jamii:Historia ya Kanisa]]
[[Jamii:Historia ya Ulaya]]