Mtaguso wa tano wa Laterano : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+tif
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Iulius - Bulla monitorii et declarationis in cursus privationis et aliarum penarum contra prelatos Gallice nationis hic expressos, 1511 - 4592472 BEIC3 V00109 F0055.tif|thumb|''Bulla monitorii et declarationis'']]
{{Kigezo:Mitaguso mikuu ya Kanisa Katoliki}}
[[Image:Louis - Litterae super abrogatione pragmatice sanctionis in quarta sessione sacro sancti Lateranensis concilii publice lecte et recitate, 1512 - 4592398.tif|thumb|left|''Litterae super abrogatione pragmatice sanctionis'', 1512]]
'''Mtaguso wa tano wa Laterano''' ulifanyika kuanzia mwaka [[1512]] hadi [[1517]] huko [[Roma]] ([[Italia]]), kwenye [[Kanisa kuu la Roma|Basilika la Mt. Yohane huko Laterano]] ambalo ndilo [[kanisa kuu]] la [[Kanisa la Roma|Jimbo Katoliki la Roma]].
 
[[Kanisa Katoliki]] linauhesabu kama [[mtaguso mkuu]] wa 18[[kumi na nane]].
 
Uliitishwa na [[Papa Julius II]] ([[1503]]-[[1513]]) ambaye alianza kuusimamia tarehe [[3 Mei]] [[1512]]. Baada ya kifo chake, uliendelezwa na [[Papa Leo X]] ([[1513]]-[[1521]]) hadi kikao cha 12 na cha mwisho kilichofanyika tarehe [[16 Machi]] [[1517]].
Line 12 ⟶ 13:
 
== "Kitaguso" cha Pisa ==
 
Kwa kuwa Papa Julius II alikuwa hatekelezi kiapo chake cha kuitisha [[mtaguso]] kwa ajili ya [[urekebisho]], baadhi ya ma[[kardinali]], wakihimizwa na watawala wa [[Ujerumani]] na [[Ufaransa]], waliuitisha huko [[Pisa]] (Italia) kuanzia tarehe [[1 Septemba]] [[1511]]. Walikusanyika wachache tarehe [[1 Oktoba]], halafu katika kikao cha nane walimsimamisha [[Papa]] wakahamia [[Lyon]] (Ufaransa).
 
Mstari 26:
==Viungo vya nje==
*[http://www.legionofmarytidewater.com/faith/ECUM18.HTM Mtaguso wa tano wa Laterano]
{{mbegu-Ukristo}}
 
[[Jamii:Mitaguso]]
[[Jamii:Roma]]
[[Jamii:Historia ya Kanisa]]
[[Jamii:Historia ya Ulaya]]