Tofauti kati ya marekesbisho "Istanbul"

268 bytes added ,  miaka 2 iliyopita
no edit summary
d (→‎Viungo vya nje: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|af}} (8) using AWB (10903))
[[Picha:Istambul and Bosporus big.jpg|thumb|300px|Istanbul kwakutoka macho ya ndege[[Anga|angani]]; juu iko Bahari Nyeusi, chini BahaiBahari ya Marmara; sehemu ya Asia upande wa kulia, Ulaya upande wa kushoto wa BospurusBosporus; "Pembe la dhahabu" ni mkono wa bahari unaoonekana chini upande wa Ulaya]]
'''Istanbul''' (kwa [[Kituruki]] unatajwa '''İstanbul''') ni [[mji]] mkubwa zaidi katika nchi ya [[Uturuki]], ukiwa na wakazi wanaokadiriwa kuwa kati ya [[milioni]] 11 na milioni 15, ambao wanaufanya kuwa miongoni mwa miji mikubwa ya [[dunia]]. Huu ndiyondio mji mkuu wa [[Mkoa wa İstanbul]].
 
Eneo la Istanbul linaelekea pande zote mbili za [[mlangobahari]] wa [[Bosporus]] unaotenganisha [[Ulaya]] na [[Asia]]. Hivyo ni mji wa pekee duniani uliopo katika [[Bara|mabara]] mawili.
 
Kiini cha [[Historia|kihistoria]] kipo upande wa Ulaya kwenye sehemu yenye [[umbo]] la [[rasi]] baina ya [[Bahari ya Marmara]] na [[Pembe la Dhahabu]] ambayo ni mkono wa bahari unaoingia ndani ya nchi na hivyo mahali pa mji ulikingwa kwana [[bahari]] pande [[tatu]].
 
== Historia ==
Mji huu umebadilishaumebadilishiwa [[jina lake]] mara kadhaa katika historia yake ya zaidi ya miaka 26002,600. Awali [[jiji]] hilo liliundwa na [[Wagiriki wa kale|Wagiriki]] mnamo mwaka [[660 KK na Wagiriki]] kwa jina la '''[[Bizanti]]'''. Mnamo mwaka [[330]] [[BK]] [[Kaisari]] [[Konstantino Mkuu]] aliufanya kuwa mji mkuu wa [[Dola la Roma]] akaupanua ukajulikana kama '''[[Konstantinopoli]]''' (yaani mji wa Konstantino).
 
Konstantinopoli uliendelea kama mji mkuu wa [[Dola la Roma]] na baadaye [[Roma ya Mashariki]] uliojulikana pia kama [[Milki ya Bizanti]] hadi mwaka [[1453]] ambakoambapo mji ulitwaliwa na [[Waturuki]]. Tangu mwaka ule uliendelea kama mji mkuu wa [[Milki ya Osmani]] hadi mwaka [[1923]]. Baadaye [[serikali]] ya Uturuki ilihamia [[Ankara]].
 
Wakati wa [[Waosmani]] majina mbalimbali yalitumiwa: Konstantinopoli au kwa kifupi "Konstantiniye", halafu tangu [[karne ya 18]] pia "Istanbul". Tangu mwaka [[1873]] [[jina rasmi]] kwa Kituruki lilikuwalimekuwa "Istanbul".
 
Kuwepo kwa [[bandari]] kumepelekea mji huo kuwa [[kitovu]] cha [[biashara]] katika [[Uturuki]].
 
Katika [[Ukristo]] ni muhimu kama makao ya [[Askofu]] wa pili kwa [[heshima]] kati ya Maaskofu wote duniani, kadiri ya orodha iliyotolewa na [[Mtaguso Mkuu|mitaguso mikuu]] ya [[karne ya 4]].
 
Hadi [[Vita vya kwanza vya dunia|vita yavya kwanza yavya dunia]] Istanbul ilikuwa na wakazi wengi wakristoWakristo, hasa [[Wagiriki]] na [[Waarmenia.]], Waarmenia waliteswalakini wakati ule Waarmenia waliteswa wakapungua na baada ya [[vita]] Wakristo walibaguliwa kwa jumla, kwa hiyohivyo wengi walihamia [[Ugiriki]]. Leo hii Wagiriki waliobaki ni 2000 - 3000 pekee na Waarmenia ni takriban 50,000.
 
== Majengo ==
Istanbul huwa na [[Jengo|majengo]] mengi ya kihistoria kama vile
* [[Hagia Sofia]] ilikuwa [[kanisa kuu]] la Konstantinopoli; ilijengwa kwa [[amri]] ya [[Kaisari JustinianoIustiniano]] na kukamilishwa mwaka [[537]]
* [[Ukuta wa Theodosio]] ulioimarishwa kwa amri wa [[Kaisari]] huyu na kuwa kinga laya mji hadi [[uvamizi]] wa Waturuki.
* [[Kanisa|Makanisa]] ya kale, mengine kati yaoyake yamebadilishwa kuwa [[misikiti]]
* [[Mnara wa Galata]] uliojengwa na [[Waitalia]] katika sehemu yao ng'ambo laya Pembe la Dhahabu
* Misikiti mikubwa ya Milki ya Osmani kama vile [[Msikiti wa Suleymaniye]], [[Msikiti wa Sultan Ahmad]] na majengo mbalimbali ya [[Mimar Sinan]]
* [[Topkapi]] iliyokuwa [[ikulu]] ya masultani hadi mwaka 1923 na leo hii ni kati ya [[makumbusho]] muhimu duniani
* Mnara wa Msichana - Kiz Kulesi: kulingana na hadithi nyingi tofauti, Konstantino, mmoja wa viongozi wa Kibizanti, alikuwa na [[binti]] yake mrembo ambaye alimpenda sana. Watabiri walitabiri kuwa [[kifo]] cha binti huyo kitatokana na kugongwa na [[nyoka]]. Katika kumlinda binti yake na janga hilo, [[mfalme]] akaagiza kujengwe [[nyumba]] katikati ya [[kisiwa]] ambapo ndipo Kiz Kulesi ilipo hivi sasa. Lakini mwisho wa siku Yuleyule binti aliuawa kwa kugongwa na nyoka aliyekujaaliyefika kisiwani kupitia katika kikapu cha [[mboga]].
* MNARA WA MSICHANA - KIZ KULESI
Kulingana na hadithi nyingi tofauti kuhusiana na KIZ KULESI, Constantine, Moja ya viongozi wa Byzantine alikuwa na binti yake ambaye inasemekana alikuwa mrembo sana ambaye alimpenda sana. Watabiri walitabiri kuwa kifo cha binti huyo kitatokana na kugonwa na nyoka.
Katika kumlinda binti yake na janga hilo, mfalme akaagiza kujengwe nyumba katikati ya kisiwa ambapo ndipo Kiz Kulesi ilipo hivi sasa. Lakini mwisho wa siku Yule binti aliuawa kwa kugongwa na nyoka aliyekuja kisiwani kupitia katika kikapu cha mboga.
 
== Elimu ==
Mjini Istanbul kuna [[vyuo vikuu]] mbalimbali, baadhikati yaoyake:
* [[Chuo Kikuu cha Ufundi cha Yildiz]]
 
== Viungo vya nje ==
{{commonscat|Istanbul}}
* [http://english.istanbul.gov.tr Istanbul Governor's Office]
* [http://www.ibb.gov.tr/en-US/AnaSayfa/ Istanbul Metropolitan Municipality]
 
{{mbegu-jio-Uturuki}}
 
{{Miji ya Uturuki}}
 
{{commonscat|Istanbul}}
 
[[Jamii:Miji ya Uturuki]]
[[Jamii:Uturuki]]
[[Jamii:Bahari Nyeusi]]
[[Jamii:Istanbul]]