Tofauti kati ya marekesbisho "Ncha ya kaskazini"

4 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
d (→‎Tazama pia: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link GA|fr}} (2) using AWB (10903))
 
Ncha ya kaskazini ya kijiografia iko katikati ya [[Bahari ya Aktiki]]. Ni mahali ambako mhimili wa kuzunguka kwa dunia unagusa uso wa dunia. Mahali hapa papo kwa [[anwani ya kijiografia]] ya 90°S na 0°W. Mtu anayesimama hapa anatazama upande wa kusini kwa namna yoyote hata akijizungusha.
 
Nchani [[bahari]] ina kina cha mita 4,087 m. Uso wa bahari umefunikwa hapa na ganda la [[barafu]] lenya unene wa mita 3-4. Msingi[[Sakafu waya bahari]] nchani ulifikiwa mara ya kwanza mwaka 2007 na msafara wa kisayansi wa [[Urusi]] kwa kutumia [[nyambizi]].
Mazingira ya ncha ni baridi sana. Eneo lake lenyewe hakuna wakazi wa kudumu watu wa karibu ni [[Waeskimo]] wa [[Greenland]] na wakazi wa [[Siberia]] ya kaskazini ([[Urusi]]) pamoja na wanasayansi kwenye vituo vya utafiti.