Japani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 70:
Japani ni [[funguvisiwa]] yenye [[visiwa]] zaidi ya 3.000 mbele ya pwani ya [[Uchina]], [[Korea]] na [[Urusi]] ([[Siberia]]).
 
Visiwa vikubwa na muhimu zaidi ni vinne tu ndivyo [[Honshu]], [[Hokkaido]], [[Shikoku]] na [[Kyushu]]. Safu ya milima inapita visiwa vyote vikubwa na kusababisha msongamano makubwa ya wakazi katika miji kutokana na uhaba wa ardhi ya kukalia. Hali halisi Japani yote ni safu ya milima tu inayopanda juu kutoka msingi[[sakafu waya bahari]] na vilele vya milima yake huonekana juu ya uso wa bahari kama visiwa vikubwa au vidogo.
 
Ki[[jiolojia]] eneo hili liko kwenye mstari ambako [[bamba la gandunia|mabamba ya gandunia]] ya [[bamba la Ulaya-Asia|Ulaya-Asia]], [[bamba la Pasifiki|Pasifiki]] na [[bamba la Ufilipino|Ufilipino]] hukutana. Hii ni sababu ya kuwepo kwa [[volkeno]] 240 katika Japani na takriban 40 kati ya hizo ni hai pia kutokea kwa [[tetemeko la ardhi|matetemeko ya ardhi]] ya mara kwa mara. Hivyo Japani ni sehemu ya [[pete la moto la Pasifiki]] linalozunguka bamba la Pasifiki.