Tofauti kati ya marekesbisho "Tako la bara"

4 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
(+kiungo)
Kanda hili la tako lazungusha kila bara. Katika historia ya dunia sehemu hizi ziliwahi kuwa nchi kavu katika vipindi ambako hali ya hewa ilikuwa baridi zaidi na kiasi kikubwa cha maji cha bahari kuwa barafu nchani.
 
Tako la bahari kwa kawaida huishia kwenye mtelemko ambako msingi[[sakafu waya bahari]] unatelemka chini kwa vilindi vya bahari.
 
Tako la bahari ni muhimu kibiolojia, kiuchumi na kisiasa.