Sakafu ya bahari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Sakafu ya bahari''' (ing. ''seabed, sea floor, seafloor au ocean floor'') ni sehemu ya chini kabisa ya bahari au kwa lugha nyigien ni sehemu ya us...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Oceanic divisions.svg|thumb|300px|Sakafu ya bahari jinsi ilivyo kwenye mtelemko wa [[tako la bara]] kuelekea hadi vilindi vya bahari]]
'''Sakafu ya bahari''' ([[ing.]] ''seabed, sea floor, seafloor au ocean floor'') ni sehemu ya chini kabisa ya [[bahari]] au kwa lugha nyigien ni sehemu ya [[uso wa dunia]] inayofunikwa kwa maji ya bahari.
 
Kina cha maji juu ya sakafu ya bahari kinacheza kati ya [[mita]] chache hadi takriban kilomita[[kilomi]]ta 11 katika mifereji ya bahari. Kwa wastani sakafu iko mita 3,800 chini ya [[uso wa bahari]].
 
Maeneo ya sakafu ya bahari huchunguliwa kwa kutumia [[nyambizi]] za utafiti na siku hizipia kwa picha na vipimo vya [[satelaiti]]. Kwenye sehemu penye kina kidogo hasa kwenye [[tako la bara]] inawezekana pia kwa [[wazamiaji]] kufika kwenye sakafu ya bahari.