Sakafu ya bahari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Oceanic divisions.svg|thumb|300px|Sakafu ya bahari jinsi ilivyo kwenye mtelemko wa [[tako la bara]] kuelekea hadi vilindi vya bahari]]
'''Sakafu ya bahari''' ([[ing.]] ''seabed, sea floor, seafloor au ocean floor'') ni sehemu ya chini kabisa ya [[bahari]] au kwa lugha nyigiennyigine ni sehemu ya [[uso wa dunia]] inayofunikwa kwa maji ya bahari.
 
Kina cha maji juu ya sakafu ya bahari kinacheza kati ya [[mita]] chache hadi takriban [[kilomikilomita]]ta 11 katika mifereji ya bahari. Kwa wastani sakafu iko mita 3,800 chini ya [[usawa wa bahari|uso wa bahari]].
 
Maeneo ya sakafu ya bahari huchunguliwa kwa kutumia [[nyambizi]] za utafiti na siku hizipia kwa picha na vipimo vya [[satelaiti]]. Kwenye sehemu penye kina kidogo hasa kwenye [[tako la bara]] inawezekana pia kwa [[wazamiaji]] kufika kwenye sakafu ya bahari.
 
Sawa na uso wa dunia barani sakafu ya bahari huwa na [[milima]], [[mabonde]], tambarare na [[volkeno]]. Kwa jumla maeneo mbalimbali ya sakafu ya bahari hufanana kati yao zaidi kuliko maeneo ya uso wa dunia barana kwa sababisababu athira za kufinyanga na kubadilish uso wa sakafu ni chache kulingana na nchi kavikavu. Hapo chini ni hasa mikondo ya maji yanayobadilika uso wa sakafu tofauti na nchi kavu ambako [[mvua]], [[mito]], [[upepo]] na mabadiliko makali ya joto na baridi zinawezazinachangia kwenye [[mmomonyoko]] na kufinyanga uso wa nchi.
 
[[jamii:Jiografia]]