Sakafu ya bahari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[Picha:Oceanic divisions.svg|thumb|300px|Sakafu ya bahari jinsi ilivyo kwenye [[mtelemko]] wa [[tako la bara]] kuelekea [[vilindi]] vya bahari.]]
'''Sakafu ya bahari''' (kwa [[Kiingereza]] ''seabed, sea floor, seafloor au ocean floor'') ni sehemu ya chini kabisa ya [[bahari]] au, kwa [[lugha]] nyigine, ni sehemu ya [[uso wa dunia]] iliyofunikwa na [[maji]] ya bahari.
 
Mstari 8:
Sawa na uso wa dunia [[Bara|barani]] sakafu ya bahari huwa na [[milima]], [[mabonde]], [[tambarare]] na [[volkeno]]. Kwa jumla maeneo mbalimbali ya sakafu ya bahari hufanana kuliko maeneo ya uso wa dunia bara kwa sababu athira za kufinyanga na kubadilisha uso wa sakafu ni chache kulingana na nchi kavu. Hapo chini ni hasa mikondo ya maji inayobadilisha uso wa sakafu tofauti na nchi kavu ambako [[mvua]], [[mito]], [[upepo]] na mabadiliko makali ya [[joto]] na [[baridi]] zinachangia [[mmomonyoko]] na kufinyanga uso wa nchi.
 
{{mbegu-jiografiajio}}
 
[[jamii:Jiografia]]