Ufunuo wa Yohane : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Zjevení Janovo.JPG|270px250px|thumb|Yesu akimtokea Yohane.]]
[[File:BibleSPaoloFol331vFrontRev.jpg|thumb|[[Mchoro mdogo]] wa [[karne ya 9]] uliopo katika [[ukurasa]] wa kwanza wa Kitabu cha Ufunuo, [[Biblia]] ya [[Basilika la Mt. Paulo]], [[Roma]], [[Italia]].]]
'''Kitabu cha Ufunuo''' ni cha mwisho katika orodha ya [[vitabu]] 27 vinavyounda [[Agano Jipya]] katika [[Biblia ya Kikristo]].
Mstari 24:
Tena alipenda kusisitiza anatoboa [[siri]] za Mungu alizojaliwa kuzijua kwa njia za ajabu ([[njozi]], [[malaika]] n.k.).
 
Tunahitaji kutafsiri mifano mingi (vitu, viungo, [[rangi]] n.k.) na [[tarakimu]] (nne, [[Saba (namba)|saba]], [[kumi na mbili]], [[elfu]] n.k.).
 
Kwa ajili hiyo ni muhimu kujua maana zake katika [[Biblia]] (Ufunuo umejaa madondoo ya [[Agano la Kale]]: mistari 274 kwa 404!).