Waraka kwa Waroma : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 9:
==Mazingira==
Ingawa
Ndiyo maana alitaka kwenda [[Ulaya magharibi]], yaani [[Roma]] na halafu [[Hispania]], [[nchi]] iliyohesabika kuwa mwisho wa [[dunia]]. Ila kabla ya kwenda huko alipanga kuwaletea Wakristo wa [[Yerusalemu]] mchango wa wenzao wa mataifa.
Mstari 36:
Kwa namna ya pekee inajibu kinaganaga maswali kuhusu [[wokovu]]: unapatikana kwa njia gani? Kwa nini Wayahudi wengi walishindwa kumuamini [[Yesu]] ili kuupata? Kwa nini mataifa yameupokea badala yao? Aliyepata wokovu anaishi vipi? Je, Wayahudi wametupwa moja kwa moja?
Ndiyo sehemu kuu ya barua (
Paulo alisisitiza kwamba wote ni wakosefu na wanaweza kuokolewa na Mungu tu: hiyo ni [[neema]] tupu, maana hakuna anayeweza kuistahili kwa [[juhudi]] zake.
|