Waraka wa kwanza kwa Wakorintho : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q80355 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
{{Agano Jipya}}
[[File:B Facundus 167.jpg|thumb|350px|"In a moment, in the twinkling of an eye, ''at the last trump'': for the trumpet shall sound, and the dead shall be raised incorruptible, and we shall be changed." 1 Corinthians 15:52. Illumination from [[Commentary on the Apocalypse|Beatus de Facundus]], 1047.]]
 
'''Barua ya kwanza kwa Wakorintho''' ni kati ya [[vitabu]] 27 vya [[Agano Jipya]] katika [[Biblia ya Kikristo]]
 
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
 
==Mazingira==
Kutoka [[Korintho]] habari za kusikitisha zilimfikia [[Mtume Paulo]] akiwa [[Efeso]] (pengine [[mwaka]] [[57]]): katika [[Kanisa]] hilo ambalo alilianzisha na kulipenda sana kulikuwa na [[shaka]] kuhusu [[imani]], ma[[farakano]], [[upinzani]] wa [[Wakristo wa Kiyahudi]] dhidi yake, na ma[[kwazo]].
 
Kutoka [[Korintho]] habari za kusikitisha zilimfikia [[Mtume Paulo]] akiwa [Efeso]] (pengine [[mwaka]] [[57]]): katika [[Kanisa]] hilo ambalo alilianzisha na kulipenda sana kulikuwa na [[shaka]] kuhusu [[imani]], ma[[farakano]], [[upinzani]] wa Wakristo wa Kiyahudi dhidi yake, na ma[[kwazo]].
 
Kilichohatarisha zaidi [[jumuia]] hiyo ni [[karama]] mbalimbali ambazo hao Wakristo wachanga walizijali mno na hatimaye wakajivunia kuwa nazo.
Line 15 ⟶ 14:
Ilimbidi Paulo arekebishe [[hali]] hiyo ili kuokoa hasa [[umoja wa Kanisa]] na [[heshima]] kwa viongozi wake halali.
 
Basi mwaka mzima akawa na mahangaiko kwa wafuasi wake wa Korintho akawaandikia walau barua nne au tano, ingawa sisi tunazo mbili tu; pengine sehemu za baadhi yake zimeshonwa ndani ya [[2Kor]].
 
==Mpangilio==
 
Mpangilio wa barua ya kwanza una salamu na shukrani, halafu hukumu juu ya matatizo ya Wakristo hasa kufarakana (1Kor 1:10-16; 2:1-4:16), kuzini na kushtakiana mahakamani (1Kor 5-6).
 
Line 28 ⟶ 26:
 
==Madondoo muhimu==
 
Kati ya mambo mengi muhimu, barua hiyo inatunza simulizi la kwanza la [[karamu ya mwisho]] ya Bwana [[Yesu]] (11:23-25) na [[kanuni ya imani]] ya kwanza inayoorodhesha pia matokeo ya [[Yesu Kristo]] Mfufuka (15:3-8).
 
==Kiungo chaMarejeo nje==
* Blenkinsopp, Joseph, ''The Corinthian Mirror: a Study of Contemporary Themes in a Pauline Epistle'' [i.e. in First Corinthians], Sheed and Ward, London, 1964.
* Conzelmann, Hans [https://books.google.com/books?id=GjhAozR6NusC&pg=PA&lpg=#v=onepage&q=&f=false ''Der erste Brief an die Korinther''], KEK V, Göttingen 1969.
* Robertson, A. and A. Plumber, [https://archive.org/stream/criticalexegetic33robeuoft#page/n9/mode/2up ''A Critical and Exegetical Commentary on the First Epistle of St. Paul to the Corinthians''] (Edinburgh 1961).
* Thiselton, Anthony C. ''The First Epistle to the Corinthians: a commentary on the Greek text'' NIGTC, Wm. B. Eerdmans Publishing Co., Grand Rapids 2000.
*[[Yung Suk Kim]]. ''Christ's Body in Corinth: The Politics of a Metaphor'' (Fortress, 2008).
 
==Viungo vya nje==
===Tafsiri ya Kiswahili===
* [http://www.intratext.com/IXT/SWA0013/_INDEX.HTM] Agano Jipya kwa lugha ya Kiswahili
 
===Vinginevyo===
{{wikisource|1 Corinthians}}
{{wikiquote}}
* [http://www.vts.edu/ftpimages/95/download/download_group10628_id314972.pdf A Brief Introduction to 1 Corinthians]
* [http://www.studylight.org/enc/isb/view.cgi?number=T2324 International Standard Bible Encyclopedia: ''1 Corinthians'']
* {{cite EB1911|wstitle=Corinthians, Epistles to the|volume=7|pages=150–154|short=x}}
 
{{mbegu-AganoJ}}
 
[[Category: Vitabu vya Agano Jipya|Kor 1]]
[[Jamii:Mtume Paulo]]
[[Jamii:Korintho]]