Wikipedia:Ukurasa wangu na kurasa za kamusi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Tags: Mobile edit Mobile web edit
Mstari 18:
 
==Tahadhari kuhusu ukurasa wako==
'''Tahadhari moja kuhusu ukurasa wako:''' tafakari vema unachotaka kutangaza juu yako! Tafakari kama ni vema kutaja jina lako halisi. Ukifanya kazi na kuwa na mwajiri - labda itakusaidia au kuleta hasara kama bosi yakowako anajua unatumia muda wako kwenye wikipedia (hasa kama unahariri kutoka ofisini! - wengine hawapendi). Basi utaamua mwenyewe!