Wikipedia:Ukurasa wangu na kurasa za kamusi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 8:
 
==Kuhariri ukurasa wako==
Nenda kwa "Mapendekezo" hapuhapo juu kwenye ukurasa wako.
 
Ukibofya hapo unaweza kuamulia tabia mbalimbali jinsi unavyoonekana na kupatikana kwa watumiaji wengine wa wikipedia.