Baraza la mawaziri Tanzania 2015 : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
+ongezeko dogo
No edit summary
Mstari 1:
'''Baraza la Mawaziri la Tanzania''' ni ngazi ya juu ya [[serikali]] au mkono wa utendaji wa [[Jamhuri ya Muungano wa Tanzania]] katika mfumo wa [[mgawanyo wa madaraka]].
 
Baraza hili linafanywa na [[rais]], makamu wa rais, [[rais wa Zanzibar]], [[waziri mkuu]] na mawaziri wote. <ref>{{cite web |url=http://www.tanzania.go.tz/cabinet.htm |title=Cabinet of Tanzania |date= May 2012 |publisher= ''tanzania.go.tz'' |accessdate=May 2012}}</ref> Manaibu mawaziri si sehemu ya baraza. [[Mwanasheria Mkuu]] anashiriki katika mikutano ya baraza bila [[haki ya kupiga kura]].
 
Mikutano ya baraza inaongozwa na Rais kama [[mwenyekiti]], kama hayupo na Makamu wa Rais, na kama wote wawili hawapo na Waziri Mkuu.<ref>[http://www.judiciary.go.tz/downloads/constitution.pdf Katiba ya Tanzania, fungu 54]</ref>