Rais : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 100 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q30461 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
'''Rais''' (kutoka [[kar]].:رئیس) ni cheo cha mkuu wa nchi katika serikali ya [[jamhuri]]. Rais huwa anachaguliwa ama na wananchi wote au na [[bunge]]. Katika nchi kadhaa kuna pia mkutano maalumu unaoitwa kwa uchaguzi wa rais pekee, kama vile [[Marekani]]<ref>Katika Marekani wananchi wanapigia kura wajumbe wa "electoral college" na hao wanamchagua rais wakikutana mara moja tu</ref> au [[Ujerumani]] <ref>Ujerumani mkutano maalumu wa "Bundesversammlung" unafanywa na wabunge wote wa [[Bundestag]] na idadi sawa ya wawakilishi wa bunge za majimbo wanaokutana pamoja kwa uzchaguzi wa rais pekee.</ref>.
 
Kuna aina mbili za rais kufuatana na katiba za nchi mbalimbali:
Mstari 8:
Katika muundo wa serikali ya kibunge shughuli za serikali zinasimamiwa na [[waziri mkuu]]. Madaraka ya rais katika muundo huo hufanana na madaraka ya [[mfalme]] wa kikatiba isipokuwa hayupo kama rais kwa muda wa maisha yake kama mfalme.
 
Katika nchi chache yaani [[Uswisi]], [[San Marino]] na [[Uruguay]] kazi ya rais hazitekelezwi na mtu mmoja bali na kamati ya viongozi kwa ujumla, kama [[Halmashauri ya Shirikisho]] kwaya ujumlaUswisi.
 
==Marejeo==
<references/>
 
{{mbegu-siasa}}