Tofauti kati ya marekesbisho "Kimondo cha Mbozi"

no edit summary
d (Bot: Migrating 3 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q4382614 (translate me))
[[Picha:kimondombozi.jpg|thumb|200px|Kimondo cha Mbozi]]
{{coord|9|06|28|S|33|02|14|E|display=title}}
<sup><small>[[Anwani ya kijiografia]] ni 9° 6'28.11"S na 33° 2'14.34"E</small></sup><br>
'''Kimondo cha Mbozi''' ni [[kimondo]] ambacho kimeanguka kutoka angani karibu na mji wa [[Vwawa]]. Kinakadiriwa kuwa na uzito wa zaidi ya tani 12, kilianguka katika kilima cha Mlenje, [[Wilaya ya Mbozi|wilayani Mbozi]] katika [[mkoa wa Mbeya]], [[Tanzania]].