Rais : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Rais''' (kutoka [[karKiarabu]].: رئیس) ni [[cheo]] cha mkuu wa nchi katika [[serikali]] ya [[jamhuri]], na pengine mkuu wa [[taasisi]] fulani ("[[mwenyekiti]]").

Rais wa nchi huwa anachaguliwa ama na wananchi wote au na [[bunge]]. Katika nchi kadhaa kuna pia mkutano maalumu unaoitwaunaoitishwa kwa [[uchaguzi]] wa rais pekee, kama vile [[Marekani]]<ref>Katika Marekani wananchi wanapigia kura wajumbe wa "electoral college" na hao wanamchagua rais wakikutana mara moja tu</ref> au [[Ujerumani]] <ref>Ujerumani mkutano maalumu wa "Bundesversammlung" unafanywa na wabunge wote wa [[Bundestag]] na [[idadi]] sawa ya wawakilishi wa bungemabunge zaya [[Jimbo|majimbo]] wanaokutana pamoja kwa uzchaguziuchaguzi wa rais pekee.</ref>.
 
Kuna aina mbili za rais kufuatana na katiba za nchi mbalimbali:
 
* rais kama mkuu wa serikali, jinsi ilivyo [[Marekani]] na pia katika nchi nyingi za [[Afrika]] ([[serikali ya kiraisi]]).
* rais kama mkuu wa nchi asiyeshughulikaasiyeshughulikia mambo ya serikali, jinsi ilivyo [[Ujerumani]] au [[Uhindi]] ([[serikali ya kibunge]])
 
Katika [[muundo]] wa serikali ya kibunge shughuli za serikali zinasimamiwa na [[waziri mkuu]]. [[Madaraka]] ya rais katika muundo huo hufanana na madaraka ya [[mfalme]] wa kikatiba isipokuwa hayupo kama rais kwa muda wa maisha yake kama mfalme.
 
Katika nchi chache, yaani [[Uswisi]], [[San Marino]] na [[Uruguay]], [[kazi]] yaza rais hazitekelezwi na mtu mmoja bali na [[kamati]] ya viongozi kwa ujumla, kama [[Halmashauri ya Shirikisho]] ya Uswisi.
 
==Marejeo==