Waraka kwa Tito : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q131493 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
{{Agano Jipya}}
'''Barua kwa Tito''' ni kimojawapo kati ya [[vitabu]] 27 vya [[Agano Jipya]] katika [[Biblia]] ya [[UkristoKikristo]].
 
Pamoja na [[barua]] [[mbili]] kwa [[Timotheo]] inaunda kundi la [[Nyaraka za Kichungaji]]. Mada za hizo zote ni mafundisho sahihi ya [[imani]] na [[uadilifu]] wa matendo yanayofuatana nayo.
'''Barua kwa Tito''' ni kimojawapo kati ya vitabu 27 vya [[Agano Jipya]] katika [[Biblia]] ya [[Ukristo]].
 
Pamoja na barua mbili kwa [[Timotheo]] inaunda kundi la [[Nyaraka za Kichungaji]]. Mada za hizo zote ni mafundisho sahihi ya imani na uadilifu wa matendo yanayofuatana nayo.
 
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
 
== Mwandishi ==
[[Mwandishi]] wake ni [[Mtume Paulo]] mwishoni mwa [[maisha]] yake.
 
Mwandishi wake ni [[Mtume Paulo]] mwishoni mwa maisha yake.
 
== Mlengwa ==
Mlengwa ni mmojawapo wa [[wanafunzi]] wake, ambao aliwashirikisha [[mamlaka]] yake wakawa [[waandamizi]] wake kakama ma[[askofu]] wa kwanza.
 
Awali [[Tito]] alikuwa [[Mpagani]] ([[Gal|Wagalatia]] 2:1-3, [[2 Kor|2 Wakorintho]] 8:23).
Mlengwa ni mmojawapo wa wanafunzi wake, ambao aliwashirikisha mamlaka yake wakawa waandamizi wake ka ma[[askofu]] wa kwanza.
 
Awali [[Tito]] alikuwa Mpagani (Wagalatia 2:1-3, 2 Wakorintho 8:23).
 
 
== Kiungo cha nje ==
* [http://www.intratext.com/IXT/SWA0013/_INDEX.HTM] Agano Jipya kwa lugha ya Kiswahili
 
== KiungoViungo chavya nje ==
[[Jamii:Vitabu vya Agano Jipya]]
===Tafsiri ya Kiswahili===
* [http://www.intratext.com/IXT/SWA0013/_INDEX.HTM] Agano Jipya kwa [[lugha]] ya [[Kiswahili]]
===Ufafanuzi===
* [http://www.wlsessays.net/handle/123456789/3347 An Exegesis of Titus Chapter Two by David Moore]
* [http://www.wlsessays.net/handle/123456789/3779 Chapter Three Exegesis by Snowden G. Sims]
{{mbegu-AganoJ}}
[[Jamii:Vitabu vya Agano Jipya| ]]
[[Jamii:Mtume Paulo]]