Waraka wa Yakobo : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d Bot: Migrating 55 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q131097 (translate me) |
No edit summary |
||
Mstari 1:
{{Agano Jipya}}
'''
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya [[maendeleo]] ya [[ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].▼
▲'''Barua ya Yakobo''' ni kati ya vitabu 27 vinavyounda [[Agano Jipya]] katika [[Biblia ya Kikristo]].
▲Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
== Mazingira ==
Kitabu hiki labda kiliandikwa [[miaka ya 80]] [[B.K.]] kikitumia [[jina]] la Yakobo, lakini [[wataalamu]] hawapatani kuhusu huyo ni nani, aliandika wapi na lini.▼
Kwa hakika walengwa wa kitabu ni [[Wakristo
▲Kitabu hiki labda kiliandikwa miaka ya 80 [[B.K.]] kikitumia jina la Yakobo, lakini wataalamu hawapatani kuhusu huyo ni nani, aliandika wapi na lini.
▲Kwa hakika walengwa wa kitabu ni [[Wakristo]] wa [[Kiyahudi]] wenzake, lakini si barua halisi, bali ni mchanganyiko wa mawaidha yanayofuata mtindo wa vitabu vya hekima.
Lengo lake ni kuhakikisha [[Ukristo]] usiishie katika mawazo mazuri, bali [[imani]] ijitokeze katika matendo mema.
Lengo lingine ni kuwakuza [[fukara|mafukara]] na kuwakemea [[tajiri|matajiri]], kadiri ya mwelekeo wa [[Kanisa]] la [[Yerusalemu]] (Yak 1:1-2:26; 4:1-5:6).
== Kiungo cha nje ==
* [http://www.intratext.com/IXT/SWA0013/_INDEX.HTM] Agano Jipya kwa [[lugha]] ya [[Kiswahili]]
{{mbegu-AganoJ}}
[[Jamii:Vitabu vya Agano Jipya|Yak]]
|