Waraka wa kwanza wa Petro : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 53 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q131119 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
{{Agano Jipya}}
'''BaruaWaraka yawa kwanza yawa Petro''' ni kati ya [[vitabu]] 27 vinavyounda [[Agano Jipya]] katika [[Biblia ya Kikristo]].
 
'''Barua ya kwanza ya Petro''' ni kati ya vitabu 27 vinavyounda [[Agano Jipya]] katika [[Biblia ya Kikristo]].
 
Kama vitabu vingine vyote vya [[Biblia]], hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa [[historia ya wokovu]] ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya [[ufunuo]] wa [[Mungu]] kwa [[binadamu]].
 
== Mazingira ==
 
[[Mtume Paulo]] alipokaribia kumaliza kazi yake, wengine kati ya [[mitume]] na wanafunzi wao walianza kuandika kwa [[uvuvio]] wa [[Roho Mtakatifu]].
 
Mmojawao ni [[Mtume Petro]], kwa msaada wa [[Sila]], akiwa [[Roma]] karibu na kuuawa (mwaka [[64]] hivi).
 
Baada ya kufanya [[utume]] huko [[Antiokia]], aliweza kwa urahisi kutembelea [[mkoa|mikoa]] ya [[Uturuki]] Kaskazini wa leo.
 
[[Wakristo]] wa huko ndio walioandikiwa [[barua]] hii yenye mafundisho na [[ibada]] kuhusu [[ubatizo]] na [[Pasaka]].
 
Pamoja na hayo walihimizwa wasiogope maneno ya watu wengine wasiopendezwa na [[uongofu]] wao: hali ngumu ni fursa ya kulingana zaidi na [[Yesu]] mpole na mteswa (1Pet 1:1-12; 2:19-25; 3:13-5:14).
 
== KiungoViungo chavya nje ==
 
===Tafsiri ya Kiswahili===
== Kiungo cha nje ==
* [http://www.intratext.com/IXT/SWA0013/_INDEX.HTM] Agano Jipya kwa [[lugha]] ya [[Kiswahili]]
===Ufafanuzi===
 
*[http://www.studylight.org/enc/isb/view.cgi?number=T6839 ''The International Standard Bible Encyclopedia'']: 1 Peter
*[http://www.ccel.org/e/easton/ebd/ebd/T0002900.html#T0002912 ''Easton's Bible Dictionary'' 1897:] First Epistle of Peter
*[http://www.wlsessays.net/node/886 Ernst R. Wendland, “Stand Fast in the True Grace of God! A Study of 1 Peter"]
*{{CathEncy|wstitle=Epistles of Saint Peter}}
*[http://www.bible-apologetics.com/history/1peter.htm 1 Peter] The authenticity and authorship by Peter of the First Epistle of Peter defended
{{mbegu-AganoJ}}
[[Jamii:Vitabu vya Agano Jipya|Pet 1]]
[[Jamii:Mtume Petro]]