Majiranukta ya kijiografia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 114 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q22664 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
'''Anwani ya kijiografia''' ([[ing.]] [[:en:coordinates|coordinates]]) ni namna ya kutaja mahali duniani. Anwani ya kijiografia huelezwa kwa kutaja [[longitudo]] na [[latitudo]] za mahali fulani.
 
Dunia hugawiwa katika gredi 360 za longitudo na gredi 180 za latitudo (90° za kaskazini na 90° za kusini).
Mstari 8:
 
Kwa mfano anwani ya [[Accra]] ([[Ghana]]) ni: 5°30' N (latitudo) na 0°10' W (longitudo).
 
==Matumizi ya anwani ya kijiografia kwenye wikipedia==
Wahariri wengi wanaongeza anwani ya kijiografia katika makala zinazohusu miji, kata, majengo au mahali pengine. Katika wikipedia hii tunaweza kutumia [[kigezo:coord]]. Inatosha kunakili mfano kutoka ukurasa wa kigezo hiki na kubadilisha tarakimu zilizopo kwa namba zinazopatikana kwa kutumia Google Earth au ramani nyingine inayoturuhusu kuona anwani ya kijiografia.
 
{{mbegu-jio}}