Majiranukta ya kijiografia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:This is a basic photo showing that latitude lines are horizontal and longitude lines are vertical- 2014-07-25 20-36.jpg|350px|thumb|Maelezo ya latitudi na longitudi]]
'''Anwani ya kijiografia''' ([[ing.]] [[:en:coordinates|coordinates]]) ni namna ya kutaja mahali duniani. Anwani ya kijiografia huelezwa kwa kutaja [[longitudo]] na [[latitudo]] za mahali fulani.
 
Line 7 ⟶ 8:
Gredi za longitudo zinaanza kuhesabiwa kwenye [[meridiani]] ya 0° iliyokubaliwa ni mstari kutoka [[ncha ya kaskazini]] hadi [[ncha ya kusini]] unaopita katika mji wa [[Greenwich]] (karibu na [[London]] / [[Uingereza]]).
 
Kwa mfano anwani ya National Theater mjini [[Accra]] ([[Ghana]]) ni: 5°3033' 14"N (latitudo) na 0°1012' 2"W (longitudo).
Anwani inaandikwa mara nyingi pia kwa njia ya [[desimali]] na hapa inawezekana kutaja mahali kimakinifu zaidi. Hapo Accra iko kwa 5.553938, 0.200581.
 
==Matumizi ya anwani ya kijiografia kwenye wikipedia==