Kigezo:Majiranukta : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 35:
 
 
Kuna pia programu za ramani zinazoonyesha anwani kwa namna ya desimali, kwa mfano Google Maps. Unabofya right-click na "What is here", unaona tarakimu za anwani. Halafu utumie mfano hapo chini kwa anwani 29.979571 ,31.134668 :
 
'''<nowiki> {{Coord|29.979571|31.134668|display=title}}</nowiki>'''