Ndege ya kijeshi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
ILIYOUNGANISHWA NA NDEGE YENYEWE.
(Hakuna tofauti)

Pitio la 20:41, 23 Aprili 2017

Ndege ya kijeshi ni eropleni inayotumiwa kwa kusudi la kijeshi. Mara nyingi ni ndege ilitengenezwa hasa kwa kusudi hii lakini kuna pia ndege zinazoitwa hivi hata kama zinafanana na ndege za kawaida hata zinaweza kubaki bila silaha lakini zilinunuliwa na jeshi la nchi fulani kwa makusudi yao. Ndege iliyokodiwa tu au kukamatwa na jeshi kwa muda haiitwi "ndege ya kijeshi".

Puto na putoanga zilitangulia

Vyomboanga (balloon) vya kwanza vilivyotumiwa kijeshi vilikuwa puto katika karne ya 19. Zilitumuiwa hasa kwa kusudi la kupeleka watazamaji na wapelelezi juu ya uso wa nchi na kupeleleza malengo kwa mizinga na kama mizinga ililenga vema. Wakati wa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia kulikuwa pia na matumizi ya putotanga (zeppelin) kwa kusudi hiyohiyo na pia kwa kubeba mabomu nyuma ya mistari ya mapigano. Ndegeputo za Ujerumani zilitupa mabomu kadhaa juu ya London wakati wa Vita Kuu ya Kwanza. Ballons waren die ersten Luftfahrzeuge, die vom Militär zu Aufklärungszwecken (Artillerie-Feuerleitung) benutzt wurden. Ebenso wurden zunächst Zeppeline als Bomber eingesetzt.

Ndege za injini

Mara moja baada ya kupatikana kwa ndege za akina Wright mnamo mwaka 1903 wanajeshi walina faida ya kutumia mitambo huu kwa makusudi yao. Walileta uwezo wa kufikia mahali haraka zaidi na kwa uhakika zaidi kuliko puto.

Baada ya kuanza kwa Vita Kuu mwaka 1914 marubani walitumwa angani kwa kupeleleza hali ya maadui. Pale ambako ndege za maadui zilikutana angani marubni walianza kupigana kwa kutumia bastola au bunduki walizokuwa nazo.

Mwaka 1915 Ufaransa ilitangulia kutengeneza ndege ya kwanza iliyokuwa na bombomu Schon bald nach dem Erstflug des Motorflugzeugs der Gebrüder Wright 1903 zeigte das Militär Interesse an den schnelleren und wendigeren Flugzeugen zu Aufklärungszwecken. Der Erste Weltkrieg beschleunigte die Entwicklung des Militärflugzeuges enorm. Nachdem zunächst unbewaffnete Aufklärungsflugzeuge die feindlichen Stellungen erkundeten, wurde, durch den Einbau von Maschinengewehren, das Jagdflugzeug geschaffen. Durch weiteren Umbau und Vergrößerung wurde eine weitere Flugzeuggattung entworfen, die sog. Bomber. Diese konnten nun, entsprechend ihrer Namensgebung, auch Bomben abwerfen.

Militärflugzeuge werden bei der deutschen Bundeswehr von der Luftwaffe und der Marine eingesetzt.

Militärflugzeuge sind an gut sichtbaren Stellen mit Hoheitszeichen markiert; diese heißen Kokarde oder 'Flugzeugkokarde'. Früher wurden die Luftkämpfe "auf Sicht" ausgetragen. Seit langem haben Militärflugzeuge eine elektronische Freund-Feind-Erkennung. So wird Friendly Fire vermieden. Siehe auch