Ndege ya kijeshi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Israeli F-16C takes off from Ovda Airport in November 2013.JPG|thumb|right|300px|Ndege aina ya [[F-16 Fighting Falcon]] ya [[Israeli Air Force]].]]
[[Image:VF-103 DStormDN-ST-92-08218.jpg|thumb|right|300px|Ndege aina ya [[Grumman F-14 Tomcat]] ya [[Marekani]] mwaka [[1991]].]]
'''Ndege ya kijeshi''' ni [[eropleni]] inayotumiwa kwa kusudi la kijeshi. Mara nyingi ni [[Ndege (uanahewa)|ndege]] ilitengenezwa hasa kwa kusudi hilo, lakini kuna pia ndege zinazoitwa hivi hata kama zinafanana na ndege za kawaida hata zinaweza kubaki bila [[silaha]] lakini zilinunuliwa na [[jeshi]] la nchi fulani kwa makusudi yao. Ndege iliyokodiwa tu au kukamatwa na jeshi kwa muda haiitwi "ndege ya kijeshi".
 
==Puto na putoanga zilitangulia==
[[Vyomboanga]] (balloon) vya kwanza vilivyotumiwa kijeshi vilikuwa [[puto]] katika [[karne ya 19]]. Zilitumuiwa hasa kwa kusudi la kupeleka watazamaji na wapelelezi juu ya uso wa nchi na kupeleleza malengo kwa [[mizinga]] na kama mizinga ililenga vema. Wakati wa Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia kulikuwa pia na matumizi ya [[putotanga]] (zeppelin) kwa kusudi hiyohiyo na pia kwa kubeba [[bomu|mabomu]] nyuma ya mistari ya mapigano. Ndegeputo za [[Ujerumani]] zilitupa mabomu kadhaa juu ya [[London]] wakati wa Vita Kuu ya Kwanza.
Ballons waren die ersten Luftfahrzeuge, die vom Militär zu Aufklärungszwecken (Artillerie-Feuerleitung) benutzt wurden. Ebenso wurden zunächst Zeppeline als Bomber eingesetzt.
 
==Ndege za injini==