Neptuni (sayari) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Kipala alihamisha ukurasa wa Kausi hadi Neptun: Kausi ni kosa, linganisha majadiliano:Sayari
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Neptune-visible.jpg|thumb|200px|right|KausiNeptun ilivyopigwa [[picha]] na darubini ya angani ya Hubble I.]]
[[Picha:Neptune, Earth size comparison.jpg|thumb|200px|right|Ulinganifu wa KausiNeptun na [[dunia]]. [[Rangi]] ya [[bluu]] ya sayari ya Neptune hutokana na uwepo wa methane katika tabaka lake la hewa.]]
'''KausiNeptun''' (wakati mwingine pia "Kausi", kwa [[Kiingereza]]: '''Neptune''') ni [[sayari]] mojawapo kubwa katika [[mfumo wa jua]], ya [[nane]] kutoka [[jua]] letu na ya [[nne]] kwa ukubwa wa [[kipenyo]]. Kutokana na ukubwa wake, wanasayansi wameiweka KausiNeptun, pamoja na sayari zingine [[JupiterMshtarii]], [[SaturnZohali]] na [[Uranus]] katika kundi la sayari kubwa kabisa zinazofahamika kwa Kiingereza kama [[Jovian planets]].
 
KausiNeptun hukaa karibu [[muda]] wote katika umbali ambao haubadiliki kutoka jua, takribani [[kilometa]] [[bilioni]] 4.5 (sawa na [[maili]] bilioni 2.8). [[Obiti]] ya KausiNeptun inakaribia kufikia [[duara]] kamili (obiti nyingi za sayari huwa ni duara paba).
 
[[Wanaanga]] wanaamini kuwa, kwa ndani katikati KausiNeptun imeundwa na [[miamba]] ambayo inazungukwa na kiwango kikubwa cha [[maji]] yaliyochanganyika na vitu vyenye asili ya miamba. Kutoka ndani kabisa, maji hayo yametawanyika kuelekea juu, mpaka ilipokutana na [[tabaka la hewa]] lililoundwa na [[hidrojeni]], [[heli]] na kiwango kidogo cha [[gesi]] ya [[methane]].
 
KausiNeptun ina [[bangili]] nne na [[Mwezi (gimba la angani)|miezi]] [[kumi na nne]] inayofahamika hadi sasa. Ingawa [[ujazo]] wa KausiNeptun ni mara 72 kuliko ujazo wa [[dunia]], [[tungamo]] lake ni mara 17 tu kuliko lile la dunia. Hivyo ni sayari nyepesi kulingana na ukubwa wake, na ni nzito kuliko sayari jirani [[Uranus]] lakini ndogo yake.
 
==Ugunduzi na jina==
Sayari hii haikugunduliwa angani, bali ilikuwa ya kwanza kufahamika kama matokeo ya [[Hesabu|mahesabu]]. [[Nadharia]] za kihisabati za [[unajimu]] katika [[karne ya 19]] ndizo zilizopelekea kugundua sayari ya KausiNeptun. [[Mfaransa]] [[Urbain Jean Joseph Leverrier]] mnamo mwaka [[1846]] aliweza kukokotoa uwepo na mahali pa sayari mpya katika [[mfumo wa jua]]. [[Mwanahisabati]] huyo kupitia hesabu zake alishaweza kufanikiwa kutoa baadhi ya [[tabia]] za sayari kabla ya kuthibitisha uwepo wake.
 
Mnajimu mwingine wa Kijerumani, [[Johann Gottfried Galle]], akiendeleza mavumbuzi ya Leverrier aliweza kuiona sayari katika mwaka [[1846]]. Baada ya [[ugunduzi]] wake, Leverrier alipendekeza [[jina]] la [[mungu]] wa [[bahari]] na [[mito]], [[Neptuni]], kutoka [[heyaka]] za [[Ugiriki wa Kale]] na [[Roma ya kale]], kama jina la sayari mpya. Jina hili liliendelea kutumiwa na wanajimu wa [[karne ya 20]] baada ya kujifunza namna sayari ilivyo na asili ya maji kwa nje.
Mstari 16:
[[Lugha]] nyingi [[duniani]] zimekopa jina hilo kwa sababu [[astronomia]] ya zamani haikujua sayari hiyo hadi kupatikana kwa darubini tu. Kwa [[Kiswahili]] [[vitabu]] kadhaa vinatumia jina ''Kausi''<ref>Wallah, W.B. & Mwamburi, J. Kiswahili mufti darasa la 8: Mwongozo wa mwalimu. Longhorn, 2009. ISBN 99966491066</ref>
<ref>TESSA - Teacher Education in Sub Saharan Africa. [http://tessafrica.net/index.php?option=com_resources&task=fileDownload&sectionId=815&file=Section.pdf&Itemid=193 Nishati na Mwendo: Kutoka Ardhini kenda kwenye nyota – kutumia Zana Kifani]. Available at: www.tessafrica.net</ref>
<ref> Waweru, M.; Makombo, H; Vonuoli, A.; Kashihiri, C.; Mwayani, J.[http://books.google.com/books?id=5duyqogD04wC&lpg=PA266&dq=kiswahili%20mufti%20darasa%20la%20nane&hl=pt-BR&pg=PP1#v=onepage&q=kiswahili%20mufti%20darasa%20la%20nane&f=false Hutua za Kiswahili: Masomo ya Msingi 8]. East African Educational Publishers ltd., 1ed, 290p., 2005. ISBN 9966-25-403-X</ref> kwa kufuata kamusi ya [[KAST]] na sasa pia [[KKK]]; lakini jina hilo halipatikani katika kamusi zote.<ref>[[KKK/ESD]] ya [[TUKI]] inaonyesha Neptuni. Linganisha ukurasa wa [[Majadiliano:Sayari]]</ref> Katika utamaduni wa Uswahilini jina "[[Kausi]]" linajulikana tangu karne nyingi likimaanisha [[kundinyota]] inayojulikana pia kwa jina lake la kimagharibi [[:en:Sagittarius (constellation)|Sagittarius]]<ref>Jan Knappert, The Swahili names of stars, planets and constellations; makala katika jarida la The Indian Ocean Review, Perth, Australia September 1993, uk. 7</ref>.
 
==Kuiangalia sayari==
===Kutoka duniani===
KausiNeptun huwa haionekani kwa urahisi: [[macho]] matupu hayawezi kuiona; ni lazima kutumia [[darubini]], na hata hapo huonekana ikiwa imefifia kama kisahani chenye [[rangi]] ya buluu-kijani. Rangi hii imetokana na gesi ya [[methani]] inayopatikana kwa wingi katika [[angahewa]] yake. Kwa kutumia [[teleskopu]] kubwa, sayari huweza kuonekana kama kaduara kadogo chenye kipenyo cha kama 2.3 arc second. Wanaanga hutumia kipimo cha [[arc second]] kuelezea ukubwa wa vitu katika [[anga la usiku]].
 
===Kutoka angani===
Kutokana na sayari kuwa mbali sana na dunia ([[km]] 4.49 X 10<sup>9</sup>/[[mi]] 2.29 X 10<sup>9</sup>), [[Chombo cha angani|chombo kimoja tu cha angani]] kiliwahi kuitembelea KausiNeptun. Chombo kilichoitwa [[Voyager 2]], kilichotumwa angani tarehe [[20 Agosti]] [[1977]], kilifanikiwa kuipita sayari ya Jupita ([[1979]]), Saturn ([[1981]]), Uranus ([[1986]]) na KausiNeptun ([[1989]]). Wakati Voyager 2 ilipoipita sayari ya Neptune, ilituma [[picha]] za sayari, bangili zake na miezi yake. Wanaanga walizisoma picha hizi na kugundua bangili zake nne na miezi mitano ambayo ilikuwa haijagunduliwa kabla. Minne kati ya miezi hii iliyogunduliwa ilikuwa karibu kabisa na sayari; mkubwa wake, [[Triton]] ulikuwa na kipenyo cha kilomita 180 (maili 112) ambacho ni kidogo kuweza kutosha katika mashimo yaliyo katika mwezi wa dunia.
 
==Mwendo wa sayari==
KausiNeptun huchukua miaka 164.79 kumaliza mzunguko mmoja kandokando ya jua, hivyo [[mwaka]] mmoja wa KausiNeptun ni mrefu mara 164.79 kuliko ule wa dunia. Sayari inajizungusha katika [[muhimili]] wake mara kwa muda ya masaa 16, kama vile dunia inavyojizungusha kwa masaa 24. Muhimili wa kujizungusha umekaa tenge katika 29.6<sup>o</sup>. Ukaaji huu wa mhimili huipa sayari [[majira]] mbalimbali kama vile mhimili wa dunia katika 23.5<sup>o</sup> unavyotoa majira mbalimbali katika mwaka.
 
==Muundo==
[[Maada]] yake ni hasa [[gesi]] iliyoganda. Kwa kiwango kikubwa, KausiNeptun ina [[miamba]] na [[maji]], pamoja na [[hidrojeni]] na [[heli]] (na kiwango kidogo sana cha [[methane]]) katika [[anga]] lake. Wanaanga wanaamini kuwa ilifanyika kutokana na maji yaliyoganda na mwamba uliotoka katika [[asteroidi]] yenye [[barafu]] angani. Kadiri ukubwa wa sayari unavyoongezeka, [[mkandamizo]] na [[jotoridi]] ndani ya sayari huongezeka na kuyeyusha maji yaliyoganda kuwa [[kimiminika]] cha [[moto]].
 
Wanaanga wanaamini pia kuwa sayari ina [[kiini]] [[yabisi]] ambacho si kikubwa kuzidi dunia (kipenyo cha dunia ni km 12,756/mi 7,926) na kina mchanganyiko wa [[chuma]] na [[silicon]]. Kiini cha KausiNeptun kinaweza kuwa kidogo kwa sababu karibu miamba yote inayounda sayari imechanganyikana na maji mengi yaliyosambaa kutoka katika kitovu cha sayari hadi katika tabaka lake la hewa.
 
Sehemu kubwa ya sayari ambayo ni ya kimiminika inachangia sehemu kubwa ya ujazo wake. Wanasayansi wanaamini kuwa [[bahari]] hii (vimiminika vinavyoizunguka sayari) inaundwa kwa kiwango kikubwa na [[maji]] (H<sub>2</sub>O) pia na [[methane]] (CH<sub>4</sub>) na [[ammonia]] (NH<sub>3</sub>). Bahari ya KausiNeptun ina [[joto]] kali sana (kiasi cha 4700<sup>o</sup>C/8500<sup>o</sup>. Bahari imebakia katika hali ya kimiminika katika joto hili badala ya kuwa mvuke kwa sababu [[mkandamizo]] ndani ya Neptune ni mkubwa kama milioni kadhaa ya ule mkandamizo katika [[tabaka la hewa la dunia]]. Mkandamizo mkubwa husaidia kuzuia kutengeneza mvuke.
 
==Tabaka la hewa==
Tabaka la hewa la KausiNeptun lina gesi ya [[hidrojeni]], [[heli]] na [[asilimia]] [[tatu]] ya [[methane]]. Tabaka limetanuka mpaka km 5000 kutoka bahari ya sayari. Mwanga unaoakisiwa na sayari ni wa bluu kwa sababu methane hufyonza mwanga mwekundu na wa rangi ya machungwa lakini hutawanya mwanga wa bluu.
 
Mnamo mwaka [[1998]] wanaanga waligundua uwepo wa [[molekyuli]] za [[methyl]] katika tabaka la KausiNeptun. Ugunduzi huo ulikuwa kwanza wa [[kampaundi]] za [[hydrocarbon]] ([[kaboni]] ni [[elementi]] ya msingi katika kila [[kiumbe hai]]) katika sayari tofauti na dunia.
 
KausiNeptun hutoa joto mara 2.7 zaidi ya lile inayolifyonza kutoka jua. Kiini cha KausiNeptun hufikia jotoridi la 5149<sup>o</sup> (9300<sup>o</sup>F) ambalo ni kali kuzidi lile la nje la jua. [[Upepo|Pepo]] katika KausiNeptun, ambazo huvuma katika uelekeo wa [[latitude]], zina [[mwendokasi]] mkubwa katika maeneo ya muhimili kuliko katika [[eneo la ikweta]]. KausiNeptun ina pepo zenye mwendokasi mkubwa kupita zote katika [[mfumo wa jua]] ambazo hufikia mwendokasi wa km/saa 2000 (mi/saa 1200).
 
==Eneo kuzunguka sayari==
KausiNeptun ina [[Mwezi (gimba la angani)|miezi]] 14 na [[bangili]] 4 zisizoonekana kwa urahisi.
 
===Bangili zake===
Mstari 53:
[[File:Triton moon mosaic Voyager 2 (large).jpg|thumb|200px|left|Mwezi wa Triton kama ulivyopigwa picha na Voyager 2.]]
[[File:Proteus (Voyager 2).jpg|thumb|200px|right|Mwezi wa Proteus kama ulivyopigwa picha na Voyager 2.]]
Miezi (satelaiti) kumi na nne inafahamika kuzunguka KausiNeptun. Miezi yote kwa mpangilio wa ukaribu wake na sayari ni [[Naiad]], [[Thalassa]], [[Despina]], [[Galatea]], [[Larissa]], [[Proteus]], [[Triton]], na [[Nereid]]. Hiyo miwili ya mwisho tu ni mikubwa hata iliweza kuangaliwa moja kwa moja kutoka duniani kabla ya [[miaka ya 1990]]. Mwezi mkubwa, unaoitwa [[Triton]] na kwa ukubwa hulingana na mwezi wa dunia yetu, uligunduliwa mwaka [[1846]] na mnajimu wa [[Uingereza]] [[Williama Lassel]] na [[Nereid]] uligunduliwa mwaka [[1949]] na mnajimu [[Gerard Kuiper]]. Miezi mingine mitatu ni midogo sana na iko mbali sana kutoka KausiNeptun na wanaanga wanafahamu kidogo sana juu yake.
Mwezi huitwa [[Triton]] na .