Mshale (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 3:
 
Jina la Kiswahili limetokana na neno la Kiarabu ''Kaus'' <big>قوس</big> linalomaanisha "mpiga mishale", maana sawa na jina la "sagittarius". Wataalamu wa kale waliona katika nyota zake picha ya mtu anayekalia juu ya farasi akishika pinde na kulenga mshale.
 
Jina la "Kaus" limetumiwa pia katika astronomia ya kimagharibi kutaja nyota kadhaa zilizomo hapa kama vile Kaus Australis, Kaus Medius na Kaus Borealis.
 
Kausi inaonekana pale angani ambako [[njia nyeupe]] inang'aa zaidi yaani kuelekea kitovu cha [[galaksi]] yetu.