Jozi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Kipala alihamisha ukurasa wa Jozi hadi Jozi (tunda): Jozi - pair
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Jozi''' ni namna ya kutaja vitu viwili vilivyo pamoja na vinavyofanana. Ni namna nyingine ya kusema "[[mbili]]" lakini kwa kukazia tabia ya kuwa pamoja.
#REDIRECT [[Jozi (tunda)]]
 
Mifano ya jozi za kawaida ni viatu, soksi, macho. Khanga zinauzwa mara nyingi kwa jozi.
 
 
[[jamii:Namba]]