Mshtarii : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Masahihisho aliyefanya 204.52.179.203 (Majadiliano) yalirejeshwa hadi sahihisho la mwisho na Riccardo Riccioni
Mstari 13:
Mshtarii ina miezi 63 zilizotambuliwa hadi mwaka [[2005]]. Ukubwa wa [[Io]] unakaribia [[kipenyo]] cha [[Utaridi]] ukipita kile cha [[Pluto]]. Mwezi mdogo kabisa wa Mshtarii unajulikana kwa namba tu na una kipenyo cha [[km]] 1.
 
Miezi minne mikubwa ilitambuliwa mwaka [[1610]] na [[Galileo Galilei]] aliyekuwa kati ya wanaastronomia wa kwanza waliotumia darubini. Ndiyo [[Io (mwezi)|Io]], [[Europa (mwezi)|Europa]], [[GanymediGanymed (mwezi)|Ganymed]] na [[Kallisto (mwezi)|Kallisto]].
 
==Tanbihi==