Mshale (kundinyota) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 5:
'''Kausi''' ni jina la [[kundinyota]] inayojulikana pia kwa jina la Kilatini '''[[:en:Sagittarius (constellation)|Sagittarius]]'''.
 
==Jina==
Jina la Kiswahili limetokana na neno la Kiarabu ''Kaus'' <big>قوس</big> linalomaanisha "[[upinde]]", maana karibu sawa na jina la [[Kilatini]] "sagittarius" (mpiga upinde). Wataalamu wa kale waliona katika nyota zake picha ya mtu anayekalia juu ya farasi akishika pinde na kulenga mshale.
 
Jina la "Kaus" limetumiwa pia katika astronomia ya kimagharibi kutaja nyota kadhaa zilizomo hapa kama vile Kaus Australis, Kaus Medius na Kaus Borealis.
 
Katika vitabu kadhaa vya shule za msingi nchini Tanzania "Kausi" imetumiwa kwa kosa kutaja [[sayari]] ya nane katika [[mfumo wa jua]] letu yaani [[Neptun]].
 
==Kuonekana==
Kausi inaonekana pale angani ambako [[njia nyeupe]] inang'aa zaidi yaani kuelekea kitovu cha [[galaksi]] yetu.
 
Kausi ni kati ya fungunyota zilizojulikana tangu karne nyingi zikitumiwa hasa na mabaharia kutafuta njia baharini wakati wa usiku.
 
==Sifa za pekee==
Katika eneo la Kausi wanaastronomia walitambua magimba ya angani kadhaa ya maana yalitambuliwa na wanaastronomia. Hizi ni pamoja na
*Sagittarius A ambayo ni chanzo cha mawimbi ya redio; inaaminiwa ya kwamba mawimbi haya ni dalili za kuwepo kwa [[shimo cheusi]] kubwa sana
*[[Nebula]] kadhaa zilizoandikishwa katika [[orodha ya Messier]] kama vile nebula za lagoon, omega na red spider.
 
Katika vitabu kadhaa vya shule za msingi nchini Tanzania "Kausi" imetumiwa kwa kosa kutaja [[sayari]] ya nane katika [[mfumo wa jua]] letu yaani [[Neptun]].
 
==Marejeo==
*''kuhusu jina:'' Jan Knappert, The Swahili names of stars, planets and constellations; makala katika jarida la The Indian Ocean Review, Perth, Australia September 1993, uk. 7
 
[[Jamii:Kundinyota]]