Voyager 1 : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d (GR) File renamed: File:Vg1 p23254 hires.jpgFile:Crescent Saturn as seen from Voyager 1.jpg File renaming criterion #2: To change from a meaningless or ambiguous name to a name that describes what...
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Voyager.jpg|thumb|300px|Voyager 1]]
[[File:Voy1 8feb2012.jpg|thumb|300px|Njia ya Voyager 1 hadi mwaka 2012]]
'''Voyager 1''' ni [[chombo cha angani]] kilichorushwa mwaka 1977 na shirika la [[NASA]] nchini [[Marekani]] kwa kusudi la kupeleleza anga katika [[mfumo wa jua]] letu hadi [[anga la nje]] kati ya nyota. Inaendelea kufanya kazi na kutuma data inayokusanya kwa kutumia vyombo vya upimaji ndani yake.

==Chomboanga cha mbali kutoka dunia==
Voyager 1 ni chombo cha kutengenezwa na binadamu kilichofikia umbali mkubwa na dunia yaani 123.5 vizio astronomia vinavyolingana na kilomita bilioni 18.35; nuru ya jua inahitaji zadi ya masaa 17 kufikia voyager 1 (hali ya Desemba 2012).
 
Mwaka 2012 ilitembea nje ya mzingo wa [[Pluto]] katika kanda la heliosheath penye mata ya mwisho inayoshikwa na [[graviti]] ya [[jua]] ikiandaa kuondoka katika mfumo wa jua letu kabisa na kuingia anga kati ya nyota.
 
Voyager 1 ilipita karibu na sayari za Jupiter na Saturn na kupiga pacha bora za sayari hizi na miezi yao. Inaendelea kupima mnururisho uliopo angani na kutuma data duniani. Inachukua nguvu yake kutoka beteri zenye [[Plutoni]] nururifu zinazopangwa kutoa umeme hadi mwaka 2020.
 
==Kupita mipaka ya mfumo wa jua==
Voyager 1 imeshapita katika [[Ukanda wa Kuiper]] ikieleka sasa kwenda [[wingu la Oort]]. Imeshapita eneo la [[heliosferi]].
 
Voyager 1 inaendelea huko gizani na mwezi wa Februari 2017 ilifika umbali wa km bilioni 20.6 au [[vizio astronomia]] (umbali kati ya jua na dunia) 138. Bado inatuma data kuhusu [[uga sumaku]] ya jua. Watafiti kutoka Ugiriki (Dialynas Kostas na wengine) walitumia data zake pamoja na [[Voyager 2]] na [[Cassini-Huygens|Cassini]] kusema kumbe heliosferi ina umbo la tufe bila mkia mkubwa jinsi iliyoaminiwa awali.<ref>[Nature.com/articles/s41550-017-0115 Hitimisho la utafiti wa Kostas]</ref>
 
=== Picha za Mshtarii (Jupiter) zilizotumwa na Voyager 1 ===
Line 33 ⟶ 41:
* CNN: "[http://www.cnn.com/2006/TECH/space/05/23/voyager.2/index.html NASA: Voyager II detects solar system's edge]", 25 Mei 2006
* [http://voyager.jpl.nasa.gov/mission/weekly-reports/ Weekly Mission Reports] — includes information on current spacecraft state
* [http://www.theverge.com/2017/4/25/15421104/the-farthest-review-voyager-probes-nasa-jet-propulsion-laboratories-science] Trailer ya filamu ya 2017 "The Farthest", si ya kisayansi sana lakini picha nzuri
<br clear="all"/>