Mnururisho sumakuumeme : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 4:
Tofauti na mawimbi ya mata kama [[wimbisauti]] zile za sumakumeme hazihitaji midia kwa uenezi wao. Zinaenea pia katika [[ombwe]] kwa [[kasi ya nuru]].
 
Mawimbi yenye lukokamasafa (''wavelength'') fupimafupi ni mnururisho wa [[ioni|kuioniza]] na hivyo hatari kwa viumbehai kuanzia kiwango fulani, hasa gammarei na eksirei. Hata mnururisho wa urujuanimno ina hatari unaweza kusababisha [[mbabuko wa jua]] (ing. ''sunburn'') kwenye ngozi ha hata [[kansa]].
 
Pande mbalimbali za spektra ya sumakuumeme zinatofautiana kwa [[masafa ya mawimbi]] (''wavelenghth''), [[marudio]] (''frequency'') na kiwango cha nishati zinazosafirisha.