Theluthi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:FrazioneUnTerzo.png|300px|thumb|Theluthi moja]]
'''Theluthi''' (kutoka neno la [[Kiarabu]] <big>ثلث</big> ''thulth''; pia '''thuluthi''') ni [[namba wiano]] inayotaja sehemu ya [[tatu]] ya jumla fulani. Theluthi tatu zinafanya 1.
 
Inaweza kuandikwa kama '''<math>\tfrac{1}{3}</math>''' au '''1/3'''.
Line 8 ⟶ 9:
 
Hesabu: (1 ⁄ 3) · ((100 ⁄ 3) ⁄ (100 ⁄ 3)) = (100 ⁄ 3) ⁄ 100 ≈ 33,33 ⁄ 100 ≈ asilimia 33,33 .