Ratili : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 6:
 
Ratili ilipokewa kutoka vipimo vya [[Kiarabu]]: "ratl" iliyotumiwa kwa [[jina]] hili katika sehemu nyingi za nchi za [[Kiislamu]]. Lakini [[uzani]] wa ratl ulikuwa tofauti kati ya nchi, [[Jimbo|majimbo]] na [[miji]], kuanzia gramu 340 hadi zaidi ya kilogramu 2. Ratili ya Uswahilini ililingana zaidi na ratl jinsi ilivyotumiwa [[Uarabuni]] katika eneo la [[Makka]] iliyokuwa kidogo juu ya gramu 400.<ref>Makala "Makayil" katika The Encyclopedia of Islam, Leiden 1991, Vol VI, MAHK—MID</ref>
 
==Ratili kama kipimo cha kihandisi na biashara==
Hadi leo "ratili" inatumiwa pale ambako matini za kiingereza zinatafsiriwa zinazotumia "pound".
*pau za reli zinatofautishwa mara nyingi kwa kutaja uzito kwa urefu na katika mfuno wa vipimo vya Uingereza ni "pound per yard" na kwa Kiswahili "ratili"<ref>[http://www.trl.co.tz/?p=1554 linganisha taarifa kwenye tovuti ya TRL] "kazi ya kutandika reli nzito ratili 80 imekamilika", habari ya 25 Machi 2017, iliangaliwa Aprili 2017</ref>. Hapo ratili inalingana na pound ya Kiingereza ambayo ni [[gramu]] 453.59237.
 
==Tanbihi==