Namba asilia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
No edit summary
 
Mstari 1:
[[File:Three apples(1).svg|right|thumb|Namba asilia zinaweza kutumika kwa kuhesabu ([[tofaa]] [[moja]], [[mbili]], [[tatu]] n.k.]]
[[File:U+2115.svg|right|thumb|upright|[[Herufi]] kubwa N yenye mistari miwili inayoikata ni kidokezo cha namba asilia zote.]]
'''Namba asilia''' ([[ing.]] ''natural numbers'') katika [[hisabati]] ni [[namba]] zinazotumika kwa kuhesabu (kama hivi "kuna [[sarafu]] tatu [[Meza|mezani]]") na kwa kupanga (kama hivi "huu ni [[mji]] wa tatu kwa [[ukubwa]] hapa nchini"). Katika [[lugha]] za Kizungu, maneno yanayotumika kuhesabia huitwa "[[namba kadinali]]".
 
Baadhi ya [[waandishi]] huanza kuhesabu namba asilia na 0, wakifuatia na [[Namba|namba kamili]] zisizo [[namba hasi|hasi]] 0, 1, 2, 3...., ambapo wengine huanza na 1, kisha wakifuatia na [[Namba|namba kamili]] [[namba chanya|chanya]] 1, 2, 3..... Maandishi yatokanayo na namba asilia yasiyohusisha [[sifuri]] mara nyingine humaanisha namba asilia pamoja na namba nzima, lakini katika maandishi mengine, neno hili linatumika badala ya [[Namba|namba nzima]] (ikiwa ni pamoja na namba nzima hasi).