Wamaroni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Saint Elijah Maronite Cathedral, Aleppo (2).jpg|thumb|250px||[[Kanisa kuu]] la Kimaroni la [[Alep]] ([[Syria]]).]]
'''Wamaroni''' ni sehemu kubwa mojawapo ya watu wa [[Lebanoni]], lakini siku hizi wengi zaidi wanaishi nje ya nchi hiyo asili.
 
Kinachowatambulisha zaidi, pamoja na [[historia]] yao, ni [[imani]] ya [[Ukristo|Kikristo]] katika [[Kanisa la Wamaroni]], ambalo lina [[ushirika kamili]] na [[Papa]] wa [[Roma]] na [[Kanisa Katoliki]] lote [[duniani]], ingawa linafuata [[Liturujia ya Antiokia|mapokeo ya Antiokia]].
 
{{mbegu-Ukristo}}
 
[[Jamii:Lebanoni]]