Tofauti kati ya marekesbisho "Michelangelo"

35 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
[[Picha:Michelangelos David.jpg|thumb|right|Sanamu ya [[Daudi]]]]
[[Picha:Michelangelo - Fresco of the Last Judgement.jpg|thumb|Picha ya [[Hukumu ya Mwisho]] kwenye ukuta wa Kikanisa cha Sistina (Vatikano)]]
'''Michelangelo di Lodovico Buonarroti Simoni''' ([[6 Machi]] [[1475]] - [[18 Machi]] [[1564]]) alikuwa [[msanii]] nchini [[Italia]] aliye maarufu kama [[mchongaji]], [[mchoraji]], [[msanifu majengomsanifuujenzi]] na [[mshairi]]. Huhesabiwa kati ya wasanii muhimu zaidi wa [[zama ya mwamko]].
 
Kati ya kazi zake maarufu zaidi ni [[sanamu]] ya [[Daudi (Biblia)|kijana Daudi]] na picha[[mchoro zawa ukutani|michoro ya ukutani]] wa [[Kikanisa cha SistinaSisto IV]] huko [[Vatikano]] mjini [[Roma]] alichopamba kwa [[hadithi]] na [[watu]] wa [[Biblia]].
 
Kati ya kazi zake maarufu kama msanifu majengomsanifuujenzi ni hasa [[kuba]] ya [[Basilika la Mt. Petro]] kwenye [[Vatikano]] mjini Roma.
 
== Picha ==