Kemal Atatürk : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Mustafa Kemal Atatürk .jpg|thumb|right|[[Picha]] halisi ya Atatürk.]]
'''Mustafa Kemal Atatürk''' (* [[1881Thesalonike]], leo nchini [[SalonikiUgiriki]], (leo Thessaloniki)[[1881]]; [[10Istanbul]], Novemba[[Uturuki]], [[193810 Novemba]] [[Istanbul1938]]) alikuwa ni [[mwanzilishi]] na [[rais]] wa kwanza wa [[Jamhuri ya Uturuki]]. [[Jina]] lake lilikuwa Mustafa Kemal. Baadaye alipewa [[cheo]] cha "Atatürk", kinachomaanisha "Baba wa Waturuki".
 
==Maisha==
Jina lake lilikuwa Mustafa Kemal. Cheo cha "Atatürk" alipewa baadaye kinachomaanaisha "Baba wa Waturuki". Alizaliwa [[Mji|mjini]] [[ThessalonikiThesalonike]] katika [[Ugiriki]] ya [[Kaskazini]] iliyokuwa sehemu ya [[Milki ya Osmani]] hadi [[1913]].
 
AlikuwaAlipata kuwa [[mwanajeshi]]. Wakati wa [[Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia]] aliongoza utetezi wa Waturuki dhidi ya mashambulio ya [[Uingereza]] na [[Ufaransa]] kwenye [[mlango wa bahari]] ya [[Dardanili]] na kujipatia sifa nyingi. Baada ya kuporomoka kwa [[Milki ya Osmani]] wakati wa mwisho wa vita Atatürk aliongoza upinzani wa kitaifa dhidi ya majaribio ya [[Ugiriki]] kujipatia sehemu kubwa zaya [[Anatolia]] ya magharibi.
 
Atatürk alimpindua [[Sultani]], alitangaza Uturuki kuwa [[jamhuri, kumpindua Sultani]] na kuhamisha [[mji mkuu]] kwenda [[Ankara]] kutoka [[Istanbul]]. Baadaye alifuta cheo cha [[Khalifa]] kilichokuwa kiliunganishwa na cheo cha Sultani tangu mwaka [[1517]].
 
Atatürk aliamini ya kwamba sababu za kiushindwakushindwa kwa Uturuki [[Vita|vitani]] zilikuwa [[desturi]] na [[imani]] za kale. Hivyo aliamua kubadilisha [[tabia]] za [[taifa]] lake.
 
Alifuta [[sharia]] ya [[Kiislamu]] na [[mahakama ya kadhi]]. Badala yake alianzisha [[sheria]] mpya zilizofuata mifano ya [[Uswisi]] na [[Italia]]. Sheria ilitangaza [[usawa wa jinsia]] na kuwapa [[wanawake]] [[haki]] ya kupiga [[kura]]. [[Nguo]] za Kiislamu na [[hijab]] zilipigwa marufuku.
 
[[Shule]] zilianzishwa kwa [[watoto]] wote. Mwaka [[1928]] ilifutwa [[alfabeti]] ya [[Kiarabu]] ilifutwa iliyotumiwa kuandika [[Kituruki]] na [[vitabu]] vipya vilionyesha [[maandishi]] ya [[lugha ya taifa]] kwa [[alfabeti ya [[Kilatini]]. [[Idadi]] ya watu waliojifunza kusoma ilipanda kutoka 20[[%]] kufikia 90%.
 
Tarehe [[10 Novemba]] [[1938]] alikufa mjini Istanbul.
 
[[10 Novemba]] [[1938]] alikufa mjini Istanbul.
{{mbegu-mwanasiasa}}
 
[[Jamii:UturukiWaliozaliwa 1881]]
[[Jamii:RaisWaliofariki wa Uturuki1938]]
[[Jamii:Historia ya Uturuki]]
[[Jamii:Marais wa Uturuki]]