Daniel Auber : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
(Hakuna tofauti)

Pitio la 20:46, 22 Mei 2006

Daniel Auber (29 Januari 1782 – 12 Mei 1871) alikuwa mtungaji wa muziki kutoka nchi ya Ufaransa. Alikuwa mwanafunzi wa Luigi Cherubini. Hasa alitunga muziki ya opera.