Jinsia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Sperm-egg.jpg|thumb|right|Uzazi wa kijinsia wa binadamu na wanyama wengi unafanyika kwa mbegu mojawapo kati ya nyingi zinazobebwa na [[manii]] ya mzazi wa kiume kuungana na [[kijiyai]] cha mzazi wa kike. Picha hii iliyokuzwa sana inaonyesha mbegu inayojipenyeza katika kijiyaji cha duara.]]
'''Jinsia''' ni hali ya [[viumbe hai]] wengi kuwa wa kiume au wa kike, jambo muhimu katika mpango wa kuendeleza [[uhai]] kupitia [[uzazi]]. Hata hivyo, si viumbe vyote vinaendeleza uhai kwa njia ya uzaliano kijinsia:
* [[viumbehai vya mfuto]] kama [[bakteria]] vyenye mwili wa [[seli]] moja tu vinatumia uzaliano peke ambako seli hujigawa.
* [[mimea]] kadhaa huzaa kwa kutenga tu sehemu ya [[mzizi|mizizi]] inayoanzisha mmea mpya; [[mbinu]] hiyohiyo hufuatwa kwa kutumia [[kipandikizi]] cha kupanda katika [[kilimo]].
 
Kuna pia njia ya kujizalisha ambayo ni namna ya pekee ya uzalioni kijinsia. Mimea kama [[karanga]] na pia wanyama kadhaa mfano [[vyawa]] na [[samaki]] kadhaa wanaweza kuanzisha wadogo bila [[manii]] ya kiume. Wanyama kama [[mategu]] ni [[huntha]] wanaobeba manii pamoja na vijiyai mwilini na wanazaa ndani yao.
'''Jinsia''' ni hali ya [[viumbe hai]] wengi kuwa wa kiume au wa kike, jambo muhimu katika mpango wa kuendeleza [[uhai]] kupitia [[uzazi]].
 
== Binadamu ==
Line 22 ⟶ 25:
Sehemu fulani ya tofauti kati ya jinsia mbili hutegemea pia [[utamaduni]].
 
=== Hali za watu zisizo za kawaida ===
Katika kila [[jamii]], hasa zilizoendelea, kuna [[idadi]] fulani ya watu ambao utambuzi wa jinsia si wa kawaida kutokana na hali ya pekee ya chembeuzi (hasa XYY na XXY) au uwepo wa homoni za jinsia nyingine ndani yao au uwepo wa viungo vya uzazi mchanganyiko au visivyo kamili au visivyoeleweka. Hata hivyo chembeuzi Y inathibitisha kuwa mhusika ni wa kiume.
 
Line 29 ⟶ 32:
Wengine, kwa sababu zisizoelezeka vya kutosha na [[biolojia]] wala [[saikolojia]], hawajisikii ipasavyo na jinsia yao (hasa [[ubaridi wa kijinsia]] na elekeo la [[ushoga]] na [[usagaji]]).
 
===Usawa wa wanawake na wanaume na tofauti zao===
== Viumbe hai visivyozaliana kijinsia ==
Siku hizi watu huongea mara nyingi juu ya [[usawa]] wa jinsia mbili. Hakika kuna usawa wa [[hadhi]] kati ya [[mwanamke]] na [[mwanamume]]. Kwa mfano, [[Biblia]] inatangaza usawa huo wa binadamu wote tangu [[sura]] yake ya kwanza ([[Mwa]] 1:26-30). Humo tunajifunza kwamba: wote [[Uumbaji|wameumbwa]] na [[Mungu]], tena kwa sura na mfano wake, wote wametiwa [[roho]], wote wana [[akili]] na [[utashi]], wote wamepata [[baraka]] yake ili kuongezeka na wote wamepewa uwezo wa kutawala [[dunia]] pamoja na vyote vilivyomo. Hata hivyo, kila mmoja ni sura na mfano wa Mungu kwa namna fulani tu, hivi kwamba mwanamke anafanana zaidi na Mungu katika baadhi ya [[sifa]] zake na mwanamume vilevile katika sifa nyingine.
Si viumbe vyote vinavyoendeleza uhai kwa njia ya uzaliano kijinsia;
* [[viumbehai vya mfuto]] kama [[bakteria]] vyenye mwili wa [[seli]] moja tu vinatumia uzaliano peke ambako seli hujigawa.
* [[mimea]] kadhaa huzaa kwa kutenga tu sehemu ya [[mzizi|mizizi]] inayoanzisha mmea mpya; [[mbinu]] hiyohiyo hufuatwa kwa kutumia [[kipandikizi]] cha kupanda katika [[kilimo]].
 
Kutambua tofauti za [[maumbile]] ya mwanamke na mwanamume ni msaada mkubwa kwa ajili ya kuelewana na kushirikiana vizuri. [[Ujuzi]] huo unamwezesha mtu kufahamu kwa nini mwingine anawaza, anasema na kutenda tofauti naye. Mradi ujuzi wa [[udhaifu]] wa kila upande usimfanye yeyote ajikuze na kumdharau mwenzake, wala ajisikie mnyonge, bali uamshe ndani yake [[juhudi]] za kukamilika kwa kushinda udhaifu alionao. Hata hivyo mwenzake aelewe kwamba juhudi hizo haziwezi kufaulu [[mia]] kwa mia kutokana na umbile lilivyo.
Kuna pia njia ya kujizalisha ambayo ni namna ya pekee ya uzalioni kijinsia. Mimea kama [[karanga]] na pia wanyama kadhaa mfano [[vyawa]] na [[samaki]] kadhaa wanaweza kuanzisha wadogo bila [[manii]] ya kiume. Wanyama kama [[mategu]] ni [[huntha]] wanaobeba manii pamoja na vijiyai mwilini na wanazaa ndani yao.
 
Tofauti za maumbile na [[tabia]] kati ya wanawake na wanaume zinajitokeza tayari katika [[mbegu]] za kike na za kiume, ambazo zote zinatengenezwa na [[mwili]] wa mwanamume, lakini za kwanza ni fupi zaidi, zinakwenda polepole zaidi ila zinadumu kirefu kuliko za pili baada ya kutoka mwilini mwa [[baba]]. Ni hizo mbegu ambazo zinamiminwa kwa [[milioni|mamilioni]] ndani ya mwili wa [[mama]] na kushindana ili ziwahi kufikia kijiyai kilichoiva, ambacho kwa kawaida ni kimoja tu na kinasubiri mgeni wake.
 
Mbegu yoyote ya mwanamume, iwe ya kike au ya kiume, inapopenya kijiyai cha mwanamke, mara inapatikana [[mimba]] ya [[seli]] moja ambayo tayari ina jinsia yake isiyoweza kubadilika tena kwa namna yoyote ile, hata baada ya [[mtoto]] kuzaliwa, kukua na hatimaye kufa. Seli zake zote zitakuwa daima za jinsia ile. Utambulisho huo wa msingi unasababishwa na baba tu.
 
Kadiri seli ya kwanza inavyozidi kujigawa, [[viungo]] vya mwili vinazidi kupatikana na tofauti zifuatavyo zinazidi kutokea upande wa jinsia kulingana na mbegu ilivyokuwa:
 
*Chembeuzi kwa jumla (kwa kawaida ni 46) zinabeba [[jeni]] zote (25,000 hivi) zinazoongoza utengenezaji wa seli zinazounda mwili jinsi ulivyo. Watu wote wana chembeuzi ya jinsia X (walau moja), ila kama ipo chembeuzi ya jinsia Y pia (inayobeba jeni maalumu za kiume) inamfanya mtu kuwa mwanamume, la sivyo ni mwanamke. Hivyo mwanamume ana jeni nyingi kuliko mwanamke, kwa kuwa yeye tu ana chembeuzi Y.
 
*Kutokana na jeni hizo za kike na za kiume, [[Tezi|matezi]] hutengeneza [[homoni]] za kike au za kiume: tangu [[Tumbo|tumboni]], lakini hasa kuanzia [[ubalehe]], [[chachu]] hizo zinatokeza tofauti, si katika [[viungo vya uzazi]] tu, bali katika mwili mzima na katika [[nafsi]].
 
*[[Ubongo]] una mwelekeo wa kike, ila unajenga tabia za kiume ukiingiwa na chachu ya [[testosteroni]] wakati wa mimba na wa ubalehe.
 
*Katika mwanamke [[daraja]] kati ya pande mbili za ubongo (kulia na kushoto) ni nene, hivyo [[mawasiliano]] kati ya [[nusu]] hizo ni bora kuliko kwa mwanamume, ambaye daraja lake ni jembamba, ila ubongo wake ni mkubwa zaidi kwa [[asilimia]] 10 hivi.
 
*Mwanamke anaweza kuongea kuliko mwanamume kwa sababu ndani ya ubongo wake usimamizi wa usemi na [[hisi]] pamoja na utendaji wote wa akili umeenea katika nusu zote mbili, kumbe kwa mwanamume unafanyika katika maeneo maalumu yaliyotengwa kwa ajili hiyo, hivyo kwake ni rahisi zaidi kupatwa na [[kigugumizi]].
 
*Mwanamke anamshinda mwanamume katika uwezo wa kufahamu kwa njia ya kusikia, kuonja, kunusa na kugusa; k.mf. mwanamke anaweza kuona pembeni kuliko mwanamume. Hata hivyo mwanamke ni mzito kuliko mwanamume kung’amua mahusiano ya umbali wa vitu.
 
*Mwanamke ana uwezo hafifu kuliko mwanamume wa kuratibu [[macho]] na [[mikono]].
 
*Ubongo wa mwanamke unapokea zaidi hisia, hivyo analia kuliko mwanamume na maitikio yake yote yanajitokeza kwa nguvu hata kupitiliza, kumbe ya mwanamume yamepoa zaidi.
 
*Mwanamke anajali uhusiano na viumbe hai, hasa watu: anavutwa na maongezi, hisia, [[urafiki]] kuliko mwanamume.
 
*Uwezo wa mwanamke wa kutofautisha [[hoja]] na hisia ni mdogo kuliko ule wa mwanamume; hata hivyo anaweza akafikia mahitimisho sahihi zaidi ingawa ya mwanamume yana [[mantiki]] zaidi.
 
*Mwanamke ni dhaifu katika [[hisabati]] kuliko mwanamume.
 
*Mwanamke amezoea masumbuko na kuvumilia kuliko mwanamume, lakini katika shida na [[uchungu]] anahitaji kufarijiwa. Mwamamume anakabili tabu kwa kupanga na kutekeleza ili kubadili hili na hili, hapendi kujisikia anashindwa, hujitahidi kuhakikisha anafanikiwa.
 
*Mwanamke huamua haraka, bila kufuata [[sheria]] wala hoja zaidi, kumbe mwanamume huamua mambo baada ya kuyafanyia [[utafiti]], akihoji na kutafuta sababu: “Ilikuwaje? Nikifanya hivi itakuwaje? Na kikitokea hiki nitafanya nini?” Hivyo anaweza kuchukua [[muda]] mrefu kuamua. Akikwama asijue la kufanya, huenda akaonekana hajali au anapuuzia jambo, kumbe anatafuta bado [[mbinu]] mbadala.
 
*Uamuzi wa mwanamke si wa moja kwa moja, ana [[wasiwasi]], uko tayari kupokea [[shauri|mashauri]] au maoni ya watu, hata kuongozwa kama si kutawaliwa nao; pengine tabia hiyo humfikishia pabaya, kwani ni mwepesi kushawishika. Kumbe mwanamume hutaka kuongoza daima, hufanya mambo kwa kujiamini zaidi, kama kwamba hahitaji shauri.
 
*[[Hamasa]] ya kushindana na kutawala kwa mwanamke ni pungufu: hivyo haelekei kufanya vurugu wala kuwa [[mhalifu]] kama mwanamume, na [[maradhi ya akili]] yanayosababisha [[ukatili]] hayampati mwanamke mara nyingi kama mwanamume.
 
*[[Ubinafsi]] wa mwanamke ni mdogo zaidi: anaguswa na misiba ya wengine, anaona [[huruma]] na kutafuta [[amani]] kuliko mwanamume. Ikitokea ajali, mwanamke anauliza mara, “Je, kuna mtu aliyeumia?”, kumbe mwanamume anaweza akauliza kwanza, “Je, walikuwa na [[bima]]?”
 
*Tangu [[utoto|utotoni]], mwanamke anaelekea kushughulikia watu: anacheza na [[mwanasesere]] au mtoto wa [[gunzi]], anambeba na kumuogesha, anamnyonyesha n.k., anapika [[chakula]] kwa kutumia [[mchanga]]. Mwanamume anamzidi kwa vipaji vya [[ufundi]], kwa kuwa anajali zaidi vitu visivyo hai kama [[kisu]], [[jembe]], [[redio]], [[fedha]] n.k.: anatazama aina za [[Gari|magari]] na [[namba]] zake, anaendesha makopo kama gari au [[baiskeli]], anajenga [[nyumba]]. Kama anavyopenda kuvimiliki vitu, ndivyo anavyopenda wanadamu wawe chini yake: kwake hao ni karibu sawa na vitu.
 
*Mwanamke anaweza kuzingatia mtu au jambo moja tu [[siku]] nzima au hata [[Juma|majuma]] kadhaa, kumbe mwanamume anasahau haraka mtu au jambo pekee, kwa kuwa anaelekea kuzingatia mengi pamoja.
 
*Hata akiwa na [[kazi]] nyingi, [[mke]] anaweza kumkumbuka mumewe kutwa nzima, kumbe [[mume]] ni mwepesi kumsahau mke wake akishikwa na kazi.
 
*Mke anaelekea [[uaminifu]] kwa mwenzi mmoja kuliko mume, kwa kuwa anatarajiwa kubeba mimba na kumtunza mtoto, kumbe mwenzie ana msukumo wa kusambaza mbegu zake kadiri iwezekanavyo.
 
*Mwanamke haangalii sana [[faida]] na [[hasara]] ya jambo, halengi mafanikio kama mwanamume, ambaye yuko tayari kujitolea kila kitu (muda, [[afya]], [[furaha]] na mahusiano) ili kufikia malengo yake.
 
*Umbile lote la mwanamke ni katika umama: si tumbo lake tu limeumbwa kwa kazi ya kuzaa watoto, bali mabadiliko yote ya mzunguko wa kila [[Mwezi (wakati)|mwezi]] unahusika na upatikanaji wa mimba. Tena si mwili tu, bali ubongo wake pia unalilia umama ambamo [[hisani]] na [[ukarimu]] vinang’aa upeo. Kumbe mwanamume, hata akiwa mwema vipi, hawezi kuelewa, kutunza na kutuliza watoto vizuri kama mwanamke.
 
*Mwanamke ana mwili laini na [[mifupa]] midogo: hali hii humzuia asifanye kazi ngumu mno. Kwa nguvu hawezi kushindana na mwanamume, ambaye yupo tayari kufanya kazi yoyote, hata iwe nzito kiasi gani.
 
*Mwanamke hufanya kazi mbalimbali (kulima, kuuguza, kufundisha, kutunza watu) kadiri awezavyo, hata saa 12-15 kwa siku: ni wa kwanza kuamka na wa mwisho kulala. Ingawa kazi zake ni nyepesi, hana muda maalumu wa kupumzika. Mwanamume anajua ni [[jukumu]] lake kuipatia [[familia]] mahitaji yake; hata hivyo anafanya kazi saa 8 au 9 tu, halafu huwa amechoka.
 
*Viungo vya uzazi vya mwanamke vimo ndani ya mwili wake ili kupokea viungo vya mume na mbegu zake zinazomtia mimba. Kumbe viungo vya uzazi vya mwanamume viko nje ili kuzamia mwili wa mke na kuutia mbegu za uzazi. Tofauti hizo zinaonyesha wazi kwamba viungo vyao vinalenga kuungana na kukamilishana; ndivyo ilivyo pia kwa nafsi zao katika [[utendaji]] wote maishani.
 
* Mwanamke anajitahidi kuwa mzuri daima ili azidi kupendwa; anataka awe mpendwa pekee: mbinu zake ni za kujivutia. Mwanamume anataka aheshimiwe na kusifiwa kwa nguvu yake hata katika [[ngono]]: mbinu zake ni za kuteka.
 
*Kwa mwanamke mawazo, hisia na mwili ni kitu kimoja: hujitoa kiakili, kihisia na kwa mwili wake wote, si kwa sehemu tu. Hivyo, katika kufanya [[mapenzi]], huchukua muda mrefu kupata [[ashiki]], huona butwaa mwanamume yupo tayari zamani, kwa kuwa ni mwepesi kusisimka, huamshwa [[tamaa]] hata na jambo dogo, k.mf. kuona sehemu ambazo kwa kawaida hazitakiwi kuonekana.
 
*Ashiki ya mwanamke hufanana na [[moto]] uwakao katika [[majani]] mabichi kwa kuwa inaenea katika mwili mzima, huamka polepole, pia huchukua muda mrefu kupoa. Kumbe ashiki ya mwanamume hufanana na moto uwakao katika majani makavu kwa kuwa imo hasa katika [[uume]] wake, huwaka kwa nguvu sana na hupoa haraka vilevile.
 
*Kwa mwanamke [[tendo la ndoa]] huanza [[Moyo|moyoni]] panapotokea [[pendo]]. Mwanamume hujikuta mbinafsi hata katika mapenzi: anadai kutoshelezwa katika ashiki asijali kutoshelezana kwa kumsubiri mwenzake.
 
*Katika kufanya mapenzi, mwanamke hujitoa kabisa kwa yule ampendaye hata kujiachia na kutendewa zaidi. Kumbe mwanamume hutaka kummiliki mwenzake: humwona kama chombo cha halali yake.
 
Kutokana na tofauti hizo na nyinginezo, wanawake wanafaa zaidi kwa kazi kadhaa na wanaume kwa kazi nyingine. Mwanamke hawi bora anapofaulu kufanana na mwanamume, bali anapokuwa mwenyewe kama alivyo, yaani alivyoumbwa na Mungu kwa ajili ya [[umoja]] wa wawili tofauti. Si suala la [[ubaguzi]], bali ni maumbile, hivyo ni [[hekima]] ya Mungu.
 
Jinsia mbili zinaposhirikiana kwa [[upendo]] na [[heshima]] bila kushindana, familia na [[jamii]] zinakwenda vizuri kwa michango maalumu ya jinsia zinazokamilishana. Kinyume chake, pale ambapo wanawake wanataka kushindana na wanaume ili washike nafasi yoyote, sisi sote tunakosa ule mchango maalumu wa jinsia ya kike hata kuliko wanapobaguliwa na kuzuiwa wasiutoe.
 
===Katika Ukristo===
Kwa msingi huo unaweza ukaeleweka uamuzi wa [[Yesu]] wa kuteua wanaume tu kuwa [[Mitume wa Yesu|mitume]] ingawa aliwaheshimu sana wanawake, kuanzia Mama yake, [[Bikira Maria]]. Huyo, aliye kielelezo cha wanawake wote, kwa upendo wake kamili alichangia na anazidi kuchangia ustawi wa [[Kanisa]] na wa [[ulimwengu]] kuliko mtume yeyote yule. Kwa kuwa Yesu ametuonyesha kuwa jambo bora si kutawala, bali kupenda na kutumikia kama mwenyewe alivyofanya akiongozwa na [[Roho Mtakatifu]], ambaye ndani ya Mungu ni Upendo-Nafsi, ni Zawadi-Nafsi anayekamilisha umoja wa [[Mungu Baba|Baba]] na [[Mungu Mwana|Mwana]]. Ndiyo sababu anatusukuma kupenda na kujitoa badala ya kutaka kutawala. Katika hilo wanawake wanaelekea zaidi.
 
Kimsingi zaidi, inafaa tujitahidi kuelewa [[fumbo]] la [[Mwana wa Mungu]] kujifanya mwanamume awe [[bwanaarusi]] wa Kanisa linalokusudiwa kumzalia watu wote kabisa. Ingawa Mungu hana mwili, na kwa sababu hiyo hana jinsia, Yesu Mwanae ni mwanamume na ametushirikisha uhusiano wake na Mzazi wa milele aliyemuita Baba. Hilo si bure: ndiye aliyetangulia kutupenda na ndiye anayetuwezesha kufanya lolote. Kazi yetu ni hasa kuwa tayari kupokea upendo wake na utendaji wake wowote ili [[uzima]] ustawi ndani mwetu na kandokando yetu.
 
[[Jamii:Jinsia]]