Basil wa Caesarea : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 98:
 
Kuhusu hilo alitumia kishujaa maneno makali katika [[hotuba]] zake, kwa sababu anayetamani kumpenda [[jirani]] kama anavyojipenda, kadiri ya [[amri ya Mungu]] “hatakiwi kuwa na mali yoyote kuliko jirani yake”. Hasa wakati wa maafa alihimiza waamini wasiwe “wakatili kuliko [[hayawani]]… kwa kujipatia vile ambavyo wote wanamiliki kwa pamoja au kwa kuteka vitu vilivyo mali ya wote”.
 
==Tazama pia==
*[[Watakatifu wa Agano la Kale]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wakristo]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]
 
== Maandishi yake ==