Bruno Mkartusi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
dNo edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:San bruno.jpg|thumb|150px200px|leftright|Mtakatifu Bruno.]]
[[Image:José de Ribera 029.jpg|thumb|right|300px|Bruno, [[mwanzilishi]] wa Wakartusi.]]
 
Mstari 8:
 
== Maisha ==
 
Bado kijana alikwenda [[Reims]] ([[Ufaransa]]), ambapo mwaka [[1057]] [[askofu]] Gervas alimkabidhi uongozi wa [[shule]] iliyomlea.
Mwaka [[1076]] aliacha shughuli zake shuleni na [[dayosisi|jimboni]] (kama [[katibu mkuu]]) akamkimbilia mtawala mdogo [[Ebal wa Roucy]], kutokana na askofu [[Manase wa Gournay]] kumchukia kwa sababu ya kumlaumu kwa kosa la [[usimoni]]. Aliweza kurudi Ufaransa mwaka [[1080]] tu, baada ya Manase kuondolewa na [[mtaguso]] maalumu.
 
=== Wito wa kimonaki ===
 
Katika miaka hiyo migumu, ndipo [[wito]] wake wa kimonaki ulipojitokeza. Katika barua yake mojawapo Bruno alisimulia jinsi alivyoweka [[nadhiri]] ya kujitoa [[wakfu]] kwa [[Mungu]] pamoja na marafiki wawili.
 
Line 19 ⟶ 17:
 
=== Kartusi ===
 
Monasteri ilianza kujengwa katikati ya mwaka [[1084]], kwenye mita 1175 juu ya [[usawa wa bahari]]. [[Kanisa]] tu lilijengwa kwa mawe, ili liweze kuwekwa [[wakfu]], kama ilivyofanyika mwaka [[1085]].
 
Line 27 ⟶ 24:
[[File:San Bruno (Manuel Pereira, MRABASF E-18) 01.jpg|thumb|200px|right|Mt. Bruno alivyochongwa na [[Manuel Pereira]] ([[1652]], [[Real Academia de Bellas Artes de San Fernando|R.A.B.A.S.F.]], [[Madrid]], [[Hispania]]).]]
[[Image:Carducho. Pinturas del claustro de El Paular 12.jpg|right|thumb|250px|Bruno akikataa [[uaskofu]] alivyochorwa na [[Vicente Carducho]], [[Museo del Prado]] (Hispania).]]
 
 
Bruno alipotii wito wa Papa, alihisi kuwa jumuia yake kwa kukosa uongozi wake itaingia jaribuni; na kweli ilisambaratika. Lakini alifaulu kuwarudisha Kartusi waendelee chini ya [[Landuino Mkartusi|Landuino]].
 
Line 49 ⟶ 44:
 
=== Kifo ===
 
Mnamo Juni [[1101]] Roger alifariki dunia, akiwa na Bruno karibu naye. Tarehe 6 Oktoba Bruno pia akafariki, akizungukwa na wafuasi wake.
 
== Heshima baada ya kifo ==
 
[[Papa Leo X]] aliidhinisha kwa sauti tu heshima kwa Bruno tarehe [[19 Julai]] [[1514]], halafu tarehe [[17 Februari]] [[1623]] [[Papa Gregori XV]] alieneza heshima hiyo kwa [[Kanisa Katoliki]] lote.
 
==Tazama pia==
*[[Watakatifu wa Agano la Kale]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wakristo]]
*[[Orodha ya Watakatifu Wafransisko]]
 
== Viungo vya nje ==
 
* [http://www.newadvent.org/cathen/03014b.htm St. Bruno katika [[Catholic Encyclopedia]].]
* [http://www.chartreux.org Chartreuse]
* [http://www.saintbruno.org ''International Fellowship of St. Bruno'']
* [http://www.saintpetersbasilica.org/Statues/Founders/Bruno/Bruno.htm St Peter's Basilica: ''St Bruno'']
 
{{mbegu-Mkristo}}
 
[[Category:Waliozaliwa 1030]]