Viti maalum vya wanawake : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Viti maalum vya wanawake''' ni utaratibu unaopatikana katika nchi mbalimbali unaolenga kuongeza idadi ya wanawake na athira yao katika bunge na mabaraza kwahiyo katika siasa kwa jumla ya nchi hizi.
 
Kuna nchi nyingi za dunia zilizochukua hatua za kuongeza nafasi za wanawake serikalini kulingana na Mkataba kuhusu ufutaji wa ubaguzi wote wa wanawake ([[:en:Convention on the Elimination of All Forms of Discrimination Against Women|Convention on the Elimination of All Forms of Discrimination Against Women]]) uliosainiwa na mataifa 189 tangu kuanzishwa mwaka 1981 na kuimarishwa na azimio la Mkutano mkuu wa UM mwaka 2011. <ref>[http://undocs.org/A/RES/66/130 Resolution adopted by the General Assembly on 19 December 2011 - 66/130 Women and political participation], Tovuti ya Umoja wa Mataifa undocs.org, iliangaliwa Mei 2017 </ref>. Kati ya hatua hizi ni utaratibu wa kisheria wa kutenga sehemu ya viti vya bunge za kitaifa kua kwa wanawake pekee. Mnamo mwaka 2013 utaratibu huu ulitumiwa katika nchi 36, hasa za Afrika na Asia Kusini.
 
==Nchi zinazotumia utaratibu wa viti maalumu vya wanawake katika bunge zao==
Kati ya hatua hizi ni utaratibu wa kisheria wa kutenga sehemu ya viti vya bunge za kitaifa kua kwa wanawake pekee. Mnamo mwaka 2013 utaratibu huu ulitumiwa katika nchi 36, hasa za Afrika na Asia Kusini.
 
Katika [[Amerika]] ni nchi ya [[Haiti]].