Tofauti kati ya marekesbisho "Viti maalum vya wanawake"

18 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
'''Viti maalum vya wanawake''' ni utaratibu unaopatikana katika nchi mbalimbali unaolenga kuongeza idadi ya wanawake na athira yao katika bunge na mabaraza kwahiyo katika siasa kwa jumla ya nchi hizi.
 
Kuna nchi nyingi za dunia zilizochukua hatua za kuongeza nafasi za wanawake serikalini kulingana na Mkataba kuhusu ufutaji wa ubaguzi wote wa wanawake ([[:en:Convention on the Elimination of All Forms of Discrimination Against Women|Convention on the Elimination of All Forms of Discrimination Against Women]]) uliosainiwa na mataifa 189 tangu kuanzishwa mwaka 1981 na kuimarishwa na azimio la [[Mkutano mkuuMkuu wa UMUmoja wa Mataifa]] mwaka 2011. <ref>[http://undocs.org/A/RES/66/130 Resolution adopted by the General Assembly on 19 December 2011 - 66/130 Women and political participation], Tovuti ya Umoja wa Mataifa undocs.org, iliangaliwa Mei 2017 </ref>.
 
==Nchi zinazotumia utaratibu wa viti maalumu vya wanawake katika bunge zao==